Simba you are too good for nothing, lini mtaacha kufa kiume, shame

Simba you are too good for nothing, lini mtaacha kufa kiume, shame

Kocha huyu haha plan . Kocha anabahatsha tu

Kocha mwenye akili baada ya lile goli alitakiwa kujua nini cha kufanya immediately
Wewe hukuona alichofanya kocha immediately?
Baada ya goli aliamua kupunguza kiungo (akamtoa Chama) ili kuongeza mlinzi (akamuingiza Kennedy). Na hiyo ilikuwa ni best approach kwa wakati ule.
 
Tumechoka na haya mambo ya kufa kiume, timu ambayo haiwezi kutunza goli for 15min , strategy za kocha ni mbovu.

Haiwezekani goli muhimu kama lile linarudishwa in five minutes , what is wrong na hii timu , kila siku tumekufa kiume….. mpira hauhitaji kufa kiume, mpira unahitaji matokeo.

Hapa kwenu Dar mliongoza and in 5 minutes goli likarudi…..what is wrong . Game kama hizi ni lazima uwe na uwezo wa kulinda goli la dhahabu hiyo pia ni strategy or else utaishia hapo hapo kwenye comfort zone yenu

Hii mambo ya tumepambana kiume ni upuuzi

Mlikuwa na option ya kulinda hilo goli hata kwa damu, but akili changa.
Yani mmeanzia robo, na mmetoka.
 
Wewe hukuona alichofanya kocha immediately?
Baada ya goli aliamua kupunguza kiungo (akamtoa Chama) ili kuongeza mlinzi (akamuingiza Kennedy). Na hiyo ilikuwa ni best approach kwa wakati ule.

Then?
 
Unashindwa vipi kulinda goli kwa kasha na damu na unajua ndo turufu pekee tuliyonayo, senegal Anampiga bingwa mtetezi 2002 na analinda goli mpaka mwisho sisi tunashindwa kitu gani
Ni kweli! Simba ilitakiwa ijifunze kwa IHEFU. Jamaa walitengeneza mpaka T Shirt za kutopoteza mchezo wa 50,lakini walililinda goli mpaka mwisho!
 
Ungesema Simba inahitaji kusajili wachezaji wa kuamua matokeo katika mechi ngumu za kimataifa sababu uzoefu upo huenda ungeeleweka.

BABA yako akikupa ugali maharage shukuru sio unaanza kuuliza kwanini hatuli kuku ilihali unajua mzee bajeti haipo sawa kununua kuku. Simba ni baba hapa East Africa, anafanya vitu ambavyo wengine wameshindwa, inatakiwa itenge fungu la usajili la uhakika la wachezaji wanaoweza amua mechi ngumu za kimataifa. Uwe na shukrani KWA BABA YAKO.
Umemaliza mkuu...
 
Hata lingelindwa bado wangepita...hebu mtuache...jiandaeni na yenu...muhakikishe mmejishona vzr maana mtaenda kufumuliwa...
 
Kumbe hata mpira wenyewe hujui,eti hata lingelindwa wangepita,wangepitaje wakati ulikuwa ushashinda goli moja na point 4 zidi ya moja in aggregate
Kumbe hata mpira wenyewe hujui,eti hata lingelindwa wangepita,wangepitaje wakati ulikuwa ushashinda goli moja na point 4 zidi ya moja in aggregate
Acha maneno hapo yanangaliwa magoli sio point...
Huu ni mtoano...kumbe na wwwni wale wale tuu.. yule alikua na faida ya magoli 2 so hapo tulitakiwa magoli 3 kwenda juu...
Au 2 ili tuingie kwny matuta...
 
"Eti Simba Baba anafanya vitu wengine wanashindwa" embu niambie hayo mambo makubwa aliyofanya Simba na wengine wakashindwa au haya ya kuishia robo fainali?
Watoto wa kambo na malalamiko, Robo fainali ndo ugali wenyewe unaoupigia kelele, kama baba yako Yanga anaweza kukupa kuku akupe kwanza ndo ulalamikie ugali. Sasa ndo kwanza kakupa mchuzi wa dagaa wa kuchemsha kwa kuingia makundi tangu unazaliwa.
 
D
Acha maneno hapo yanangaliwa magoli sio point...
Huu ni mtoano...kumbe na wwwni wale wale tuu.. yule alikua na faida ya magoli 2 so hapo tulitakiwa magoli 3 kwenda juu...
Au 2 ili tuingie kwny matuta...
Duh!!
 
Yaani mpaka nimeshangaa Bocco kucheza kipindi kizima huku akiwa Hana madhara yoyote kwa adui dah. Vitu vingine tunajitakia wenyewe, kila siku itakuwa robo fainali🙌

Tatizo la Simba ni Kocha
 
Back
Top Bottom