Weka kumbukumbu sawa we mbumbumbuWeka matokeo ya timu yako dhidi ya Al-Ahly Kwanza.
Ukinionyesha umewahi kufunga goli zaidi ya moja nahamia timu yako leo leo. Au umewahi kupata draw Cairo nanunua hadi jezi.
Idiot
Asante kwa tahadhari Mkuu. LolAngalia msichane mashuka….. Kale kamdudu hakaongelewi but kapo kwa speed ya 5G
Unashindwa vipi kulinda goli kwa kasha na damu na unajua ndo turufu pekee tuliyonayo, senegal Anampiga bingwa mtetezi 2002 na analinda goli mpaka mwisho sisi tunashindwa kitu gani
Senegal alikua ni underdog kwenye kundi lake, amemfunga France bingwa mtetezi goli moja tu, wamepambana mpaka Dakika 90 zimeisha wameondoka na point tatu, Dar tumewafung al ahly ndani ya Dakika 15 wamerudisha, Cairo timewafunga ndani ya Dakika 5 wamerudisha, baada ya sisi kufunga goli kocha wa simba angewaita wachezaji muda ule wanashangilia awaambie kuwa jamaa watashambulia kwa nguvu zaidi ili wasawazishe kwahiyo kibu, ntbazokinza, chama washuke chini kidogo wakabe zaidi, mbele abaki Baleke pekeake sisi tushambulie kwa kushtukiza. Hauwezi ukawa unafanya makosa Yale Yale na haubadili mbinu utegemee matokeo tofauti.2002 team zetu zilikuwa na kiwango gani kulinganisha na sasa?
Mtoto wa kambo na gubu.Makolokolo SC akiwa Baba yako wewe na ukoo wako inatosha, usitusemee wengine tusiohusika Mwakarobo SC fan Kungwi wewe [emoji57]
Wivu tu.Taja timu (Bingwa wako) anayeongoza kuifunga Mbumbumbu SC duniani, ukipata jibu jipige kifuani mara 3 mfululizo kisha jiambie kuwa wewe ni Mbumbumbu pro max [emoji23]
Utaongea mengi ila kifupi kile walichofanya Al Ahly walikuwa wanauwezo wa kukifanya muda wowote ule wanaotaka. Ila hawakufanya hivyo ili mechi iishe sare. Kuna uhuni Al Ahly wamefanya na kampuni za kamari kwenye hizi mechi. Haiingii akilini wachezaji professional kama wale waliosajiliwa kwa mabilioni ya pesa lakini kupiga penetration pass hajui, kulenga goli nako hajui mpira anapaisha juu kila mara. Tau kila mpira akipata awazi kumpa mwenzie bali ni kujipigia tu mpira juu.Ongeeni mnavyojua lkn simba alifanya uzembe sana. Alipata golden goal ambayo alisubiri ndan ya dkk 70, lkn cha ajab akashindwa kushikilia bomba.
Kitakiwa pale sass acheze jihadi na mpira wa kihuni, ule wa Argentina. Yaan mwaarabu amvuruge na kumuondolea utulivu.
Ndani ya dkk 5 goli linarudishwa, kivip yan tena kitahisi Alkaaba anaunganisha v pass akiwa peke yake bila harassment.
Simba hajui mbinu za kuziba njia? Ajifunze hata kwa Namungo. Waliithibiti Yanga for 89 mins njia zikawa hazipo.
Au atafute video za timu ya Morocco kombe la dunia 2022 ajifunze jinsi ua kulinda ushindi. Haiwezekani ufungwe kirahi vile kwa goli la dhahabu ulilopata. Ilitakiwa Al Ahly alisotee lile goli hata kama analipata iwe ni dakk 90+ sio ndani ya dkk 5. Dharau sana.
Hii nayo imeshangaza wengi na kuacha mjadala mkubwa. Wamepoteza clear chances kibao. Mfsno pale kwa mkapa walkua na uwezo wa kufunga goli 5 + cha ajab wakashinfwa. Lkn waka rract walivyotanguliwa.Utaongea mengi ila kifupi kile walichofanya Al Ahly walikuwa wanauwezo wa kukifanya muda wowote ule wanaotaka. Ila hawakufanya hivyo ili mechi iishe sare. Kuna uhuni Al Ahly wamefanya na kampuni za kamari kwenye hizi mechi. Haiingii akilini wachezaji professional kama wale waliosajiliwa kwa mabilioni ya pesa lakini kupiga penetration pass hajui, kulenga goli nako hajui mpira anapaisha juu kila mara. Tau kila mpira akipata awazi kumpa mwenzie bali ni kujipigia tu mpira juu.
Lakini walivyoongozwa tu wame respond haraka sana na kuonesha accuracy yao na goli likapatikana wakati hapo kabla hawakuwa na accuracy kwenye maamuzi yao.
Tanzania raha sana [emoji1787][emoji1787] Akishinda yanga wameiva wako vizuri wanavunja rekodi kelele kila sehemu ila Simba mara mganga mara wamecheza chini ya kiwango mara wameisha mara makampuni ya betting [emoji1787][emoji1787]. Dunia ina makampuni ya betting zaidi ya 1000 wote wamepeleka mpunga ahlyHii nayo imeshangaza wengi na kuacha mjadala mkubwa. Wamepoteza clear chances kibao. Mfsno pale kwa mkapa walkua na uwezo wa kufunga goli 5 + cha ajab wakashinfwa. Lkn waka rract walivyotanguliwa.
Kule kwao cairo nako within 5 mins wakapata goli ilhali mwanzoni walishindwa.
Pia hiyo haituondolei umuhimu wa simba kudhikilia bomba na kuwaonuesha kwamba mmekosea kutu underrate. Ilitakiwa wajutie hivyo vitendo kama wamevifanya.
Swala sio kushinda nani na wala hatushangai kwenye hilo bali tunajaribu kutumia akili kuhoji baadhi ya vitu.Tanzania raha sana [emoji1787][emoji1787] Akishinda yanga wameiva wako vizuri wanavunja rekodi kelele kila sehemu ila Simba mara mganga mara wamecheza chini ya kiwango mara wameisha mara makampuni ya betting [emoji1787][emoji1787]. Dunia ina makampuni ya betting zaidi ya 1000 wote wamepeleka mpunga ahly
Kwenye betting sina knowledge kabisa. Hizo odds 20 maana yakr ni nn na kwa nn walitaka draw zaidi?Swala sio kushinda nani na wala hatushangai kwenye hilo bali tunajaribu kutumia akili kuhoji baadhi ya vitu.
Katika historia ya mpira Simba ameshakutana na timu nzuri na nyingi kama hao hao Al Ahly, Wydad, n.k lakini unaweza kunikumbusha ni lini Simba imewahi kuwekea odds 20? Raja alimfunga Simba goli 3 kwa Mkapa lakini pamoja na hilo mechi ya Marudiano Simba hakuzidi odds tano za kushinda.
Ukubwa wa Simba, una make sense kudharauriwa kiasi hiko mbele ya Al Ahly?
2) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana wakifika golini kwa Simba wanakuwa hawawezi kupiga penetration pass zaidi ya kupiga mipira juu. Tau akipata mpira yeye kupiga shuti juu. Kulenga golini wachezaji professional kama hao wanashindwa ( kulenga goli tu) lakini wanapofungwa tu ndani ya muda mfupi wanasawazisha tena kwa nafasi chache wanayopata wakati wamecheza kwa muda mrefu walishindwa kufanya hivyo. Waliposawazisha juzi walichokifanya ni kuupozesha mchezo na kupiga tu pasi na hawakuonekana kama timu inayotafuta goli la pili.
1) Maanake kampuni za kubet imewajaza watu kwa asilimia zote kuwa Simba na Al Ahly ni mbingu na ardhi na Simba kushinda ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano hivyo hata sare hapati.Kwenye betting sina knowledge kabisa. Hizo odds 20 maana yakr ni nn na kwa nn walitaka draw zaidi?