babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Simbachawene kweli yuko vizuri sana kuliko vilaza wote humo,
Uprezidaa anafaa kabisa ndo mana wanga hawamtaki
Uprezidaa anafaa kabisa ndo mana wanga hawamtaki
Samia Suluhu anateua vilaza ili yeye aonekane ana nafuu. Nina wasiwasi kama mkeka wa wakuu wa Mikoa utamuacha salama RC wa Njombe maana watu smart kichwani hawatakiwi kwenye utawala huu wa kidhalimu.Simbachawene ameonekana kuwa mkubwa kuliko samia mwenye ushawishi ndio maana wahuni wamemtoa asisikike.
Nchi upumbavu mwingi sana hii tusitarajia mabadadiliko yoyote tena bali ni upumbavu tu
Law of Power, Never outsmart the master.....Chawene hakulijua aina ya genge alilomoSimbachawene ameonekana kuwa mkubwa kuliko samia mwenye ushawishi ndio maana wahuni wamemtoa asisikike.
Nchi upumbavu mwingi sana hii tusitarajia mabadadiliko yoyote tena bali ni upumbavu tu
Km Makonda ni waziri, ajabu iwe kwa baba Levo?Akina baba levo na shishi karibu wanaukwaa uwaziri. Ndiko tunakoelekea😭😭
Sasa kama mnaleta mambo ya kiupinde tusiwaambie?!!! Hivi hiyo tuzo si ni habari za upinde kabisa hizo?!!!🤣🤣🤣🤣 Yaani mwanaume kabisa atatoka aongelee habari hizo?!!!Mbona neno usenge limekukaa sana bwabwa nini wewe my friend, huwezi fananisha uhai wa mtu na hizo Mali za viongozi, kwanza wanahasira nazo ni Mali zao. Mbona mnapenda sana Mali nyinyi, mtaziacha hamuendi nazo kokote,ushawahi kwenda kuzika wewe umeona ile nafasi tutapoishi milele, mnatia aibu Mali Mali Ehhh!!!! Tuzo yake Samia ataenda kuchukuwa au atamtuma Kombo,