Sasa ulitaka wasieleze madai eti kwa sababu kada nyingine hawataki kusema?Wana madai gani special ambayo wahitimu wa kada nyingine hawana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulitaka wasieleze madai eti kwa sababu kada nyingine hawataki kusema?Wana madai gani special ambayo wahitimu wa kada nyingine hawana?
Wasikabidhiwe tu wasiojulikana ili wasiendelee kulialia na kuwakera wasiojua maana ya kukosa ajira.Hakuna jipya! Mnaenda kuwapiga siasa na kuwatisha wasiendelee na madai yao.
umejiajiriWakati wanafeli kuendelea na taaluma zao walizokuwa wanazipenda wakakimbilia ualimu kwa kuona ni mserereko kupata ajira kwani hawakujua kuwa miaka hii kuna wahitimu wengi kuliko taaluma zingine? Wawe wavumilivu, serikali haiwezi kuwaajiri wote kwa wakati mmoja ni si lazima uajiriwe kwa kuwa ulisomea ualimu
Mmh, ngoja tuone!Huyu mwamba namuamini,anayo hoja asikilizwe!Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye andiko lao kuwa ni “Non Employed Teachers Organisation (NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya Kijamii.
“Nimesoma makala yao yenye kichwa cha habari "Ombi la Wahitimu wa Ualimu Vyuo mbalimbali Nchini kati ya mwaka 2015-2023 kwa Serikali, andiko lao ni zuri na linaeleweka ingawa linahitaji ufafanuzi zaidi, hivyo ninatoa wito kwa vijana hao kuja ofisini Dodoma kwa mazungumzo”
Pia soma: Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao
View attachment 3246235
Naona wafuate mfumo wao,wanaoona unafaa!Sasa ulitaka wasieleze madai eti kwa sababu kada nyingine hawataki kusema?
Punguza chuki, wivu pamoja na ujinga...walisomea ualimu ili waje wafanye nini, wauze maembe au karanga?, Hiyo elimu waliyoipata ilikuwa ikiwaandaa kujiajiri?...Stupid!Ni wapuuzi na hawana akili kuchakata mambo kwa upeo. Mpaka wanaunda NETO waliona ni lazima waajiriwe tu kwa kuwa wamesomea ualimu? Ni wapumbavu na wana fikra mgando kuhusu kuajiriwa
Waende tu maana gavoo ikiwataka hawakimbii .Mtego huo
Simbachawene ni kiongozi ambaye huwa simwelewi.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye andiko lao kuwa ni “Non Employed Teachers Organisation (NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya Kijamii.
“Nimesoma makala yao yenye kichwa cha habari "Ombi la Wahitimu wa Ualimu Vyuo mbalimbali Nchini kati ya mwaka 2015-2023 kwa Serikali, andiko lao ni zuri na linaeleweka ingawa linahitaji ufafanuzi zaidi, hivyo ninatoa wito kwa vijana hao kuja ofisini Dodoma kwa mazungumzo”
Pia soma: Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao
View attachment 3246235
Ishu ya ajira, haitatuliwi kwa vikao vya kisiasa, ccm hawana majibu, hatuna shule za kuchukua hawa waalimu wote, waambiwe ukweli! Kwa, elimu ya ualimu,nchi hainauwezo wa kuwapa ajira ya kufundisha! Period, watafute ujuzi mwingine, udereva, uselemara, nk!Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye andiko lao kuwa ni “Non Employed Teachers Organisation (NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya Kijamii.
“Nimesoma makala yao yenye kichwa cha habari "Ombi la Wahitimu wa Ualimu Vyuo mbalimbali Nchini kati ya mwaka 2015-2023 kwa Serikali, andiko lao ni zuri na linaeleweka ingawa linahitaji ufafanuzi zaidi, hivyo ninatoa wito kwa vijana hao kuja ofisini Dodoma kwa mazungumzo”
Pia soma: Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao
View attachment 3246235
Anayesomea upadre ama uchungaji sijasikia akishauriwa kufanya kazi nyingine ama kujiajiri nje ya mimbari za madhabahu!Wakati wanafeli kuendelea na taaluma zao walizokuwa wanazipenda wakakimbilia ualimu kwa kuona ni mserereko kupata ajira kwani hawakujua kuwa miaka hii kuna wahitimu wengi kuliko taaluma zingine? Wawe wavumilivu, serikali haiwezi kuwaajiri wote kwa wakati mmoja ni si lazima uajiriwe kwa kuwa ulisomea ualimu
Kijana unasoma ualimu na kuisubiri serikali ikuajiri karne hii ni ukosefu mkubwa sana wa maarifa.Anayesomea upadre ama uchungaji sijasikia akishauriwa kufanya kazi nyingine ama kujiajiri nje ya mimbari za madhabahu!
Pia sijasikia kijana akaenda chuo cha Polisi ama depot ya jeshi kufanya mafunzo kisha akasubirishwa ajira akiwa mtaani.
Kozi za ualimu na nyingine zenye kufanana na hizo ni sawa na mazao ya biashara kwa mkulima: pamba au tumbaku, yakivunwa lazima yauzwe na yakikosa soko lazima Serikali ilaumiwe kwa kutokutimiza wajibu wake.
Kwani mtu lazima ajiajiri kwenye alichosomea? Huyo mwalimu akifungua duka maisha hayaendi?Mwalimu anaweza kujiajiri kwenye ualimu wake zaidi ya kufungua tuition ,punguza chuki mkuu
We ndio mpuuzi, kwa akili yako wamesomea ualimu ili iweje. Unasomea ujuzi ili uutumie we mbwa koko.Ni wapuuzi na hawana akili kuchakata mambo kwa upeo. Mpaka wanaunda NETO waliona ni lazima waajiriwe tu kwa kuwa wamesomea ualimu? Ni wapumbavu na wana fikra mgando kuhusu kuajiriwa
Kwani anawashwa na nini, km jambo halikuhusu pita tu, ghadabu za nini? Walioshindwaga shule wana hasira sana na waliosoma.Mwalimu anaweza kujiajiri kwenye ualimu wake zaidi ya kufungua tuition ,punguza chuki mkuu