Simbachawene awataka viongozi wa walimu wasiokuwa na ajira NETO kufika ofinini Dodoma kwa mazungumzo

Kukosa Ajira na Unatumaini la kuajiriwa ni Mbaya sana.

Kuna Ndugu yangu, Kamaliza since 2015, Ajira za Juzi za ualimu aliitwa kwenye Written ila kwenye oral hakuitwa.

Nimeumia sana, Maana ni aina ya watu ambao ni pro teachers hata kwa kuwaona
 
umejiajiri
 
Mmh, ngoja tuone!Huyu mwamba namuamini,anayo hoja asikilizwe!
 
Ni wapuuzi na hawana akili kuchakata mambo kwa upeo. Mpaka wanaunda NETO waliona ni lazima waajiriwe tu kwa kuwa wamesomea ualimu? Ni wapumbavu na wana fikra mgando kuhusu kuajiriwa
Punguza chuki, wivu pamoja na ujinga...walisomea ualimu ili waje wafanye nini, wauze maembe au karanga?, Hiyo elimu waliyoipata ilikuwa ikiwaandaa kujiajiri?...Stupid!
 
Anayeharibu ni Mkenda. Sijui kwanini wizara ya Elimu ina mikosi kupata mawaziri wajuaji ambao ni vilaza.
 
Simbachawene ni kiongozi ambaye huwa simwelewi.

Kifupi, vijana hao watapoteza muda wao bure na hakuna lolote la maana watakalosaidiwa na kiongozi huyo.
 
Utashangaa viongozi ndiyo wataajiriwa ili chama kipoteane maana watakosa sifa kuwa NETO.
 
Ishu ya ajira, haitatuliwi kwa vikao vya kisiasa, ccm hawana majibu, hatuna shule za kuchukua hawa waalimu wote, waambiwe ukweli! Kwa, elimu ya ualimu,nchi hainauwezo wa kuwapa ajira ya kufundisha! Period, watafute ujuzi mwingine, udereva, uselemara, nk!
Hapo wa me it was, ili kutulizwa tu, mwaka wa, uchaguzi, huu
 
Wakitoka huko wote kauli mbiu yao itakua moja...
Wanaenda kupoozwa mizuka...



Cc: Mahondaw
 
Anayesomea upadre ama uchungaji sijasikia akishauriwa kufanya kazi nyingine ama kujiajiri nje ya mimbari za madhabahu!

Pia sijasikia kijana akaenda chuo cha Polisi ama depot ya jeshi kufanya mafunzo kisha akasubirishwa ajira akiwa mtaani.

Kozi za ualimu na nyingine zenye kufanana na hizo ni sawa na mazao ya biashara kwa mkulima: pamba au tumbaku, yakivunwa lazima yauzwe na yakikosa soko lazima Serikali ilaumiwe kwa kutokutimiza wajibu wake.
 
Kijana unasoma ualimu na kuisubiri serikali ikuajiri karne hii ni ukosefu mkubwa sana wa maarifa.
 
Ni wapuuzi na hawana akili kuchakata mambo kwa upeo. Mpaka wanaunda NETO waliona ni lazima waajiriwe tu kwa kuwa wamesomea ualimu? Ni wapumbavu na wana fikra mgando kuhusu kuajiriwa
We ndio mpuuzi, kwa akili yako wamesomea ualimu ili iweje. Unasomea ujuzi ili uutumie we mbwa koko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…