Kufanya kazi au kujishughulisha na kazi inayokuingizia kipato ni haki ya Kila mtu lakini kupewa kazi sio haki ya kila mtu. Pongezeni kunapokuwa na jambo jema.Wewe chawa mbobevu kupata kazi ni haki ya vijana wote waliosoma sio suala la upendo mtu flani kutoa kazi. Sasa vijana
Utaambiwa wanaoruhusiwa kuomba ni wale walionaliza 2020 hadi 2022 wewe km ukimaliza 2000 huko endelea kua wakala wa Mpesa na Tigopesa tuWazitoe niombe tena,msoto ninaokula ni miaka 7 hii inaelekea.Majukumu yanazidi kuongezeka tu.Mungu anisaidie.
Kuna watu wapumbavu na mna roho mbaya sana. Yaani hamuoni hata huruma wenzenu wanateseka mitaani Kwa kukosa ajira? Habari njema kama hizinyie mnaumia.Uzi kama huu naomba upigwe pin mara moja na kufutwa please mods fanyeni yenu maana watu kama hawa wanatuchosha akili.
Daaah! hii itatukatisha tamaa na kuona kusoma kwetu kote,tumepoteza muda na hao waliomaliza juzijuzi kupata ajira wao,nasisi kunyimwa,watajiona wanabahati sana.Anyway ngoja tuone.Utaambiwa wanaoruhusiwa kuomba ni wale walionaliza 2020 hadi 2022 wewe km ukimaliza 2000 huko endelea kua wakala wa Mpesa na Tigopesa tu
Ndio ipo hivyo kwani huzijui zile za wanaotakiwa kuomba kazi wasizidi umri fulaniDaaah! hii itatukatisha tamaa na kuona kusoma kwetu kote,tumepoteza muda na hao waliomaliza juzijuzi kupata ajira wao,nasisi kunyimwa,watajiona wanabahati sana.Anyway ngoja tuone.
Mkuu unataka kusema mimi ambaye sina ajira,nikifanikiwa kupata ajira naiwe na sifu kila kitu,hatakama mtoa ajira kuna vitu anakosea?Ila binadamu ni watu wa ajabu sana.. mtu ameteseka miaka saba hana ajira alafu akiingia kwenye ajira anaanza kumponda huyo huyo aliemsaidia ajira.
Maranyingi huwa inakua mwombaji asizidi miaka 45.Anyway kama watatuacha hadi tufike 46,tu-disqualify kuajiriwa poa, yawezekana tutakua tushajipata hadi kufikia umri huo.Ndio ipo hivyo kwani huzijui zile za wanaotakiwa kuomba kazi wasizidi umri fulani
Yes ndio hivyo yaan mpaka mfike 40+ mshajichokea kusubiri ajira mtaingia msituni mkachome mkaa tuMaranyingi huwa inakua mwombaji asizidi miaka 45.Anyway kama watatuacha hadi tufike 46,tu-disqualify kuajiriwa poa, yawezekana tutakua tushajipata hadi kufikia umri huo.
Usiseme hivyo,chief.....Yes ndio hivyo yaan mpaka mfike 40+ mshajichokea kusubiri ajira mtaingia msituni mkachome mkaa tu
Subiri wawanyooshe mtaingia msitu mkatafute km sio za kuchoma na kupata mkaa basi mtaenda kuchonga mbao, mlango wa mbao za mnazi ni imara sana nilikua sijuiUsiseme hivyo,chief.....
Katombw£ huko ,KuM@ weweKwa hio ukiwatukana ndio utapewa Ajira? Yaan mtasugua bench
Soma hapo juu wewe Tate MkuuKatika suala la Kuajili Mama Samia kafanya kazi kubwa sana na anaendelea kufanya kazi, mwaka huu peke ake idara ya Afya ameajiri Mara mbili, hii inaenda kuwa ya tatu, awamu iliyopita mpaka ajira zitoke ilikua issue mnoo.
Wewe upo wilaya gani ili tukuletee takwimu za eneo lako, maana inabidi tuende kiprofessional kidogo ili tuelewaneMimi niko kijijini huku. Hivyo naongea kutokana na uhalisia. Kujenga majengo pekee huku yakiwa hayana wahudumu wa kutosha, vifaa vya kutosha vya kisasa, madawa ya kutosha, nk ni kazi bure.
Hiki ndicho kipaji chenu mlichojaliwa! Wananchi wanataka maendeleo ya kweli. Na siyo hizo takwimu zenu za kwenye makaratasi.Wewe upo wilaya gani ili tukuletee takwimu za eneo lako, maana inabidi tuende kiprofessional kidogo ili tuelewane
Labda kuna kitu hauelewi sio takwimu za kwenye makaratasi, ni takwimu ambazo ni halisi, tena katika idara ya Afya takwimu ndio kila kitu, kuanzia kwenye magonjwa mpaka kwenye huduma, kuanzia miundombinu mpaka rasilimali watu, kazi zinafanyika kwa kufuata Miongozo mbalimbali toka Ngazi za umoja wa mataifa mpaka Levo ya taifa, kwa mfano ukiangalia idara ya Afya Vifo vya watoto chini ya miaka 5 vimeshuka kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka miwili iliyopita, hii ni kutokana na kuwekeza kwenye rasilimali watu na miundombinu, kwa mfano kata nyingi sana kwa hivi sasa zina vituo vya Afya vinavyotoa huduma za upasuaji, zikiwa angalau na MD mmoja, na Zahanati zikiwa zina Matabibu (CO’s), hii yote ni maendeleo, ukiangalia Idadi ya watumishi tulipotoka hali ilikua ni mbaya mno, lakini sasa watalaam wanaongezeka, Serikali inapambana sana kusogeza huduma kwa wananchi.Hiki ndicho kipaji chenu mlichojaliwa! Wananchi wanataka maendeleo ya kweli. Na siyo hizo takwimu zenu za kwenye makaratasi.
Huduma za afya kwenye hospitali nyingi za serikali ni mbovu! Boresheni kwanza huduma. Kuendelea tu kujenga majengo kila kona ya nchi, halafu huduma zikaendelea kuwa duni na mbovu, ni kazi bure.
Serikali inaendelea kutekeleza hayo kwa utaratibu nchi kubwa nyie mnataka mkilala mkiamka nchi nzima kila kijiji na kitongoji kiwe na hospitali vifaa na wauguzi hiyo haiwezekani tangu mkoloni , mwalimu nyerere na leo samia hakuna aliyeweza. Pole Pole ndio mwendo tutafika tu.Mimi niko kijijini huku. Hivyo naongea kutokana na uhalisia. Kujenga majengo pekee huku yakiwa hayana wahudumu wa kutosha, vifaa vya kutosha vya kisasa, madawa ya kutosha, nk ni kazi bure.