Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Urais wa DARUSO?WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Yaani jitu linalotapeli wenye matatizo (frustrated people) na kujipatia hela eti ndiyo liwe Rais la Tz?? Watu wana mizaha sanaMzee wa mkono wa baunsa
na ngono uzembe uno mbili tu chali
Tunasubiri treniEti Gwajima, aliahidi kufufua misukule , akashindwa kumfufua Mwendazake.
Halafu ndio aifufue nchi?
Subutu!
Huyu ndiye alivunja ndoa ya Emmanuel Mbasha na Flora hana maana hata kidogo.Yaani jitu linalotapeli wenye matatizo (frustrated people) na kujipatia hela eti ndiyo liwe Rais la Tz?? Watu wana mizaha sana
Kwani vipi Samia hatakiwi tena huko Mbogamboga? Simbachawene mwanangu sana lakini kwa Urais hatoshi.
Huyu ndiye alivunja ndoa ya Emmanuel Mbasha na Flora hana maana hata kidogo.
Kwani mwenda zake ni msukule?Eti Gwajima, aliahidi kufufua misukule , akashindwa kumfufua Mwendazake.
Halafu ndio aifufue nchi?
Subutu!
Chanzo Cha Matatizo ya nchi hii ni CCMAliyegawa nyumba za serikali kwa hawara yeye alikuwa na maana!!??
Nchi hii, kwa katiba hii, chochote kinawezekana.
Pascal Mayalla FYAKuna shoti inapigishwa Ili upatikane Moto🔥🔥🔥 wakuchemsha haya Maji.....yaliyoanza kuchemshwa yakaipuliwa hayakuchemka vizuri.
Hizi kete zinapangwa kimya kimya na kutafsiriwa kimya.
Bungo litatemwa ila Nani atalimeza Baada ya kutemwa.
Waliokuwa jikoni wanayajua vizuri.
Ila Kaka Paskali Mayalla ndio Mtaalamu WA kuwa mbele ya muda, anasemaje nae🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Ccm si ilisha pitisha mgombea wao au mimi ndo sielewi?WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Ccm si ilisha pitisha mgombea wao au mimi ndo sielewi?
By the way hakuna rais pale ,hii nafasi mbona mnaichukulia poa sana?
Wagombea kupitia chama gani? Kwani ccm si walishampitisha maza?WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Punguza hasira mkuu , mbona unatokwa na maneno kama vile umekabwaYaani jitu linalotapeli wenye matatizo (frustrated people) na kujipatia hela eti ndiyo liwe Rais la Tz?? Watu wana mizaha sana