Mungo Park
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 2,115
- 1,834
Naona Waziri anaongea mambo yasiyohusiana. Ajali ilisababishwa na Wahubiri kutokuwa na Shahada? Wahubiri wengi mbona wana shahada? Je tatizo ni Sera? Sheria?
Tatizo kubwa linaweza kuwa Sheria,Kanuni na Taratibu kufuatwa kwa ukamilifu.. Pia kulikuwa na Menejimenti mbovu ya eneo la Mkusanyiko..
Watu wa kulaumu wa kwanza ni walinda Usalama yaani Polisi. Wao walitoa kibali? Walikisimamia hadi mwisho?
Kwa hiyo Waziri wa Mambo ya Ndani anagushwa moja kwa moja.. kitu alichokuwa akikikwepa Waziri..
Kuhusu Sheria,Kanuni na Taratibu inabidi ziboreshwe ili kuendana na wakati.

- Watu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wahusishwe katika ukaguzi wakati wa kufanya maandalizi ya eneo la mikusanyiko ya halaiki.
- Magari ya Wagonjwa yawepo kwa gharama za waandaji wa mikutano ya halaiki.
- Magari ya Uokozi angalau ya Binafsi.
- Polisi wasimamie vibali vyao.
- Waandaaji watumie busara na weledi kidogo.