Kakobe unasemaje kakua wkt kaweka kanisa mfukoni siku akifa?.Lakini na usomi wao hayakui yanapitwa na ya akina kakobe wasiosoma
Tatzo sio kuwa na shahada,,, na Wala iyo mipango haitafanikiwa. Kwa sbb upako hauletwi kwa shahada na Wala MAPEPO hayaogopi shahada.Lusekelo ana shahada ya Udsm
Ingawa mimi sina ufungamano na dini rasmi yoyote, na zaidi, siamini hata uwepo wa Mungu, napenda sana kudumishwa kwa haki za kikatiba za uhuru wa kuabudu.Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.
Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.
Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitiza Simbachawene.
Source Clouds tv!
imani huwezi ku monitor ku control wewe sio mungu unachoweza monitor na ku control ni usalama.Imani huibuka kila siku mpya wewe waamini mungu mmoja wengine wanaamini miungu wengi wewe unaabudu sijui Yesu muhindu anaabudu ngombe .NO
Inabidi twende mbali zaidi kumaliza hilo tatizo
jitahidi kutafakari factors zote na uone namna ya kuzi'control/monitor
Hakuna kitu kama hicho duniani kinachoitwa kumaliza tatizo .Duniani kuna kupunguza tatizo tu iwe katika eneo lolote liwe la kisiasa.kiuchumi ,kidini nk unapunguzaNO
Inabidi twende mbali zaidi kumaliza hilo tatizo
Serikali u can do it very simply..infact serikali ina jukumu la ku'regulate kinachoendelea nchini kwa maslahi mapana ya kitaifaimani huwezi ku monitor ku control wewe sio mungu unachoweza monitor na ku control ni usalama.Imani huibuka kila siku mpya wewe waamini mungu mmoja wengine wanaamini miungu wengi wewe unaabudu sijui Yesu muhindu anaabudu ngombe .
HUKO KWENYE IMANI HUKUWEZI wewe dhibiti usalama usijipe majukumu ya ua ayatollah hutawezi utaishia tu kuwangiwa dini zingine ni za wanga UKIWAINGILIA KWENYE IMANI ZAO WANAKUWANGIA
Okay hapo i agreeHakuna kitu kama hicho duniani kinachoitwa kumaliza tatizo .Duniani kuna kupunguza tatizo tu iwe katika eneo lolote liwe la kisiasa.kiuchumi ,kidini nk unapunguza
serikali ajali zilikuwa nyingi za mabasi kupunguza tatizo wakaja na spidi governor .LAKINI HAZIKUMALIZA TATIZO LA AJALI ZILIPUNGUZA AJALI ZIMEENDELEA KUWEPO
By then unakua ushawakata makali sana tuWataanzisha vyuo uchwara na kupeana degree uchwara ilimradi waendeleze UTAPELI WAO
Sent using Jamii Forums mobile app
NENDA ulaya wachungaji wa LUTHERAN na mapadri WA KATOLIKI wana PHD lakini makanisa matupu hayana waumini mengine yamegeuzwa misikiti NA Maduka ya jumla kwa kukosa wauminiHata Katoliki na Lutheran shule tupu imejaa pale
Na ndo maana wazungu hawashoboki na mafuta feki wala diniNENDA ulaya wachungaji wa LUTHERAN na mapadri WA KATOLIKI wana PHD lakini makanisa matupu hayana waumini mengine yamegeuzwa misikiti NA Maduka ya jumla kwa kukosa waumini
katiba inatamka wazi serikali haina dini, serikali isiyo na dini ita control dini vipi? ni kinyume cha katiba .SIO KAZI YAO KUULIZA FREEMASON anaabuduje na kutaka kuingia kama viongozi wa serikali waone wanavyoabudu wao kama controllers wa dini!!!!Okay hapo i agree
Tutumie 'kupunguza' as the keyword
Hizi dini nazo serikali ina uwezo mkubwa tu wa kucontrol kwa kiasi fulani
Kuna kitu huelewi maisha yakishakuwa bora watu wengine hawasali hawaoni sababu.ULAYA HAWASHABIKII MAFUTA WALA DINI MAISHA YAO SAFI MTU HANA KAZI ANALIPWA MSHAHARA NA NYUMBA ANAPEWANa ndo maana wazungu hawashoboki na mafuta feki wala dini
Washajua maisha ni zaidi ya dini
Na ukishatambua hilo wewe kama Mtawala lazma u'regulate
Kwakuwa wanachuma pesa utashangaa wataanzisha college kwa michango ya waumini wa kanisa na kutoa degree holela labda hivyo vyuo visipewe kibaliBy then unakua ushawakata makali sana tu
Imagine kumkalisha mwamposa shule miaka 3/4
akirudi atawin kirahisi kihivo?.
Kwa hali ya maisha hapa bongo itawachukua muda na ndo control yenyeweKwakuwa wanachuma pesa utashangaa wataanzisha college kwa michango ya waumini wa kanisa na kutoa degree holela labda hivyo vyuo visipewe kibali
Matapeli ni matapeli tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo nenoKuna kitu huelewi maisha yakishakuwa bora watu wengine hawasali hawaoni sababu.ULAYA HAWASHABIKII MAFUTA WALA DINI MAISHA YAO SAFI MTU HANA KAZI ANALIPWA MSHAHARA NA NYUMBA ANAPEWA
Maskini kusali ni sehemu ya maisha yake ukimzuia anaingia msituni .Kwenye dini ni sehemu ya kupunguzia hasira zake usione watu wanajaa kuombewa ukawaita wajinga wewe inatakiwa uomboleze na uombe Mungu kama mtawala akusaidie uwasaidie hao watu kuondokana na matatizo yanayowasumbua kwenye maisha yao sio kuwafungia wakose mahali pa kwenda kulia kumlilia mungu wao wa steam out frustration zao
wewe unaonyesha una kiburi cha uzima mambo yako yako heri kwa hiyo hao wote wenye shida wanaolundikana kwa Mwamposya unawaona ngedere tu kwa sababu kwa sasa uko poa HAKIJAKUBANA CHA KUKUBANA
Wako watu wana magonjwa mazito uwezo hawana wa bima ya afya,wala kazi hawana,wala chakula wala mavazi ,ajira hawana nk mnataka wafanyaje? na serikali solution haina wajiue au? usikebehi mtu anayesali kwa kuwa wewe katumbo kako kameshiba na una kigari mtumba cha mjapani.MUNGU AWEZA KUKUTANDIKA KIBOKO chap chap kufumba na kufumbua ukajikuta kwa mwamposya na wewe unalia lia kama ngedere
umaskini mbaya sana marekani Mpiga ngumi Evander HOLLFIELD alitoa sadaka fungu la kumi dollar milioni 20 sawa na shilingi za tanzania bilioni 40 za Tanzaniia wewe vishilingi vyako vya sadaka elfu kumi tu kelele utafikiri unaumwa kipindupinduKwakuwa wanachuma pesa utashangaa wataanzisha college kwa michango ya waumini wa kanisa na kutoa degree holela labda hivyo vyuo visipewe kibali
Matapeli ni matapeli tu
Sent using Jamii Forums mobile app