Simbachawene: Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuanzisha Makanisa, Wachungaji watapaswa kuwa na Shahada ili kupunguza "Vibanda Imani"

Huko kote unaonesha UPUMBAVU WAKO, kwasababu unabuni tu vitu kwa kuhisi

Acheni Utapeli na Wizi, tafuteni pesa kwa jasho zenu sio kwa kudanganya watu na kuiba pesa zao

Ninyi ni Kunguni

Sent using Jamii Forums mobile app
haya kalale uwaze kesho unapambanaje na hali yako wewe lofa
 
Ni sawa, lakini hapo sio mMwamposa pekee, waziri kakwepa hoja kwa kusingizia elimu. Elimu haihusiki na usalama kwa sababu wapo wenye ujuzi kwenye eneo hilo. Waziri na polisi ndio wa kuwajibika. Mwamposa atatazamwa kwa upande wa sheria za nchi, mfano kuzidisha kuda wa mkutanno.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Una bahati mi sio mwanasheria

lakini hebu tafakari
1.Ilikuwaje mmiliki wa shule za Lucky Vincent alifungwa kwa sababu ya ile ajali ya school bus?
Mind you hakuwepo kwenye ajali
2.Na yule wa ile shule ingine ambayo mtoto aliuawa shuleni?hukohuko Moshi nadhani lakini mmiliki akafungwa..mind you hakumdhuru mtoto yeye japo nadhani alificha ile taarifa

ss mwamposa anakwepaje hapo.?
Binafsi ntashangaa sana asipofungwa

Ila The world is not fair anaweza asifungwe vilevile
 
Unaambiwa vibaka waliingia ndani wakaanza kukaba na kuangusha watu kuwapora ndipo watu wakaanza kukimbia ovyo na kukanyagana hovyo na kufa.hukumsikia you wa mkoa?
 
Unaambiwa vibaka waliingia ndani wakaanza kukaba na kuangusha watu kuwapora ndipo watu wakaanza kuimbia ovyo na kukanyagana hovyo na kufa.hkumsikia you wa mkoa?
Mhhhhhhhhhhh nimemsikia ila no further comments
 
Ok

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Uamuzi wa maana sana. Mtu akikosa kazi baada ya kuhangaika na CV yake mtaani anajifunza Biblia kwa miezi michache anatafuta maspika kadhaa na pesa ya kukodi eneo pamoja na ununuaji wa hema halafu anaanzisha kanisa.

Wenye elimu ndio waanzishe hayo makanisa, Kagame aliona mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…