Simbachawene: Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuanzisha Makanisa, Wachungaji watapaswa kuwa na Shahada ili kupunguza "Vibanda Imani"

Simbachawene: Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuanzisha Makanisa, Wachungaji watapaswa kuwa na Shahada ili kupunguza "Vibanda Imani"

Kama waziri anajiuzulu kwa ajali za mabasi ilhali hajui hata chombo kiko wapi muda wa tukio iweje Mwamposa asichukuliwe hatua kwa tatizo alilotengeneza moja kwa moja...ameandaa mazingira ya utelezi afu akatoa amri wafuasi waende

nadhani tuko upande mmoja
Sijasema dini ama mikutano izuiwe bali iwe 'regulated/controlled/monitored/idhibitiwe
Na namna mojawapo ya kucontrol ni kuja na vigezo flani flani

naamini wahusika wana busara zao za kuamua wafanyeje kuhakikisha usalama wa raia
Ni sawa, lakini hapo sio mMwamposa pekee, waziri kakwepa hoja kwa kusingizia elimu. Elimu haihusiki na usalama kwa sababu wapo wenye ujuzi kwenye eneo hilo. Waziri na polisi ndio wa kuwajibika. Mwamposa atatazamwa kwa upande wa sheria za nchi, mfano kuzidisha kuda wa mkutanno.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Una bahati mi sio mwanasheria

lakini hebu tafakari
1.Ilikuwaje mmiliki wa shule za Lucky Vincent alifungwa kwa sababu ya ile ajali ya school bus?
Mind you hakuwepo kwenye ajali
2.Na yule wa ile shule ingine ambayo mtoto aliuawa shuleni?hukohuko Moshi nadhani lakini mmiliki akafungwa..mind you hakumdhuru mtoto yeye japo nadhani alificha ile taarifa

ss mwamposa anakwepaje hapo.?
Binafsi ntashangaa sana asipofungwa

Ila The world is not fair anaweza asifungwe vilevile
 
Unaambiwa vibaka waliingia ndani wakaanza kukaba na kuangusha watu kuwapora ndipo watu wakaanza kukimbia ovyo na kukanyagana hovyo na kufa.hukumsikia you wa mkoa?
 
Unaambiwa vibaka waliingia ndani wakaanza kukaba na kuangusha watu kuwapora ndipo watu wakaanza kuimbia ovyo na kukanyagana hovyo na kufa.hkumsikia you wa mkoa?
Mhhhhhhhhhhh nimemsikia ila no further comments
 
Una bahati mi sio mwanasheria

lakini hebu tafakari
1.Ilikuwaje mmiliki wa shule za Lucky Vincent alifungwa kwa sababu ya ile ajali ya school bus?
Mind you hakuwepo kwenye ajali
2.Na yule wa ile shule ingine ambayo mtoto aliuawa shuleni?hukohuko Moshi nadhani lakini mmiliki akafungwa..mind you hakumdhuru mtoto yeye japo nadhani alificha ile taarifa

ss mwamposa anakwepaje hapo.?
Binafsi ntashangaa sana asipofungwa

Ila The world is not fair anaweza asifungwe vilevile
Ok

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
[emoji124][emoji124][emoji124]
Screenshot_2019-12-16-08-27-03-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.

Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.

Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitiza Simbachawene.

Source Clouds tv!
Uamuzi wa maana sana. Mtu akikosa kazi baada ya kuhangaika na CV yake mtaani anajifunza Biblia kwa miezi michache anatafuta maspika kadhaa na pesa ya kukodi eneo pamoja na ununuaji wa hema halafu anaanzisha kanisa.

Wenye elimu ndio waanzishe hayo makanisa, Kagame aliona mbali.
 
Back
Top Bottom