YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
kwa wakristo tu au waislamu pia?Degree ya Theology iwe lazima,full stop.
dodge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa wakristo tu au waislamu pia?Degree ya Theology iwe lazima,full stop.
dodge
Na huyu padri hapa anatakiwa apewe hiyo digrii ya theolojia wakati sio mkristo au mnalenga wakristo tu?Vyuo vinavyotambulika na serikali,full stop.
dodge
Na huyu padri hapa anatakiwa apewe hiyo digrii ya theolojia wakati sio mkristo?
linaloabudu nyokaPadri wa kanisa gani?
dodge
kwa wakristo tu au waislamu pia?
linaloabudu nyoka
Tatizo ni CCMbaada ya wiki kila kitu kitasahaulika na mambo yataendelea kama kawaida, ni suala la muda tu
Si kila kitu cha kuiga kutoka Rwanda , mmeiga utekaji inatosha mengine jiongezeni , wekeni tu utaratibu mzuri wa kudhibiti umati basi , Yesu Kristo alikuwa na digrii ngapi ?
Ulisema Kagame hua anasali kwa TB joshua nikakwambia lete picha/links/video hapa ukalala mbele mpk leo.linaloabudu nyoka
Mshenga Gwajima ana PhD
Lusekelo itabidi akaitafute shahada,
Wame sahau kwamba mwanzo Yesu Kristo alikuwa fundi seremala!!
Wame sahau kwamba mwanzo Yesu Kristo alikuwa fundi seremala!!
Mbona hata gwajiboi mzee phd wakati anatoka alisema anafufua wafu na hapo ndipo alipoliweza gemu.. Kwahiyo uongo hauangalii phd wala diploma ni mradi nitoke vp.Mshenga Gwajima ana PhD
Lusekelo itabidi akaitafute shahada,
Mchungaji awe na shahada lakini mbunge ajue kusoma na kuandika tu...hakika kuna sehemu tunakosea tena pakubwa sana
Ni fursa sasa kwa taasisi za elimu ya juu kuanzisha shahada ya Teolojia kwenye vyuo vyao.
atasoma nani akafanye kazi wapi.Makanisa vijijini hayana watu wala sadakaNi fursa sasa kwa taasisi za elimu ya juu kuanzisha shahada ya Teolojia kwenye vyuo vyao.