Simbachawene: Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuanzisha Makanisa, Wachungaji watapaswa kuwa na Shahada ili kupunguza "Vibanda Imani"

Hata hivyo sheria haiko sawa. Hata mimi nitaipinga tu kwasababu imekaa kinyonyaji.
Sheria ikipitishwa sharti ilenge watu wote kwa maana hiyo lazima kiongozi wa dini yoyote awe na shahada haijalishi ni mchungaji, padri au shekh. Wakristo wakilalamika wanaonewa kwa sheria kandamizi utakataa? Unamtaka mchungaji awe na shahada wakati kuna shekh ameishia darasa la 7 anaswalisha msikitini
Upumbavu wa hapa zitaibuka itikadi za kivyama khs suala hili.

CCM(watamuung mkono Simbachawene-sababu ni mwenzao) Vs CDM(Watapinga suala hilo sababu tu aliyeongea ni Simbachawene).

Ndio maisha ya kijinga tuliyojichagulia.

dodge
 
Naona wanakopi kutoka Rwanda

Sent using Jamii Forums mobile app

Kagame alikosea sana kwa hili anasahau upesi
mauaji ya kimbari yaliendeshwa na kanisa katoliki ambalo viongozi wake wote wana digrii za theolojia.Papa hadi aliomba msamaha hadharani kwa kilichofanywa na mapadri na maaskofu wa kanisa katoliki Rwanda.MAUAJI YALE wasomi wenye digrii za theolojia ndio waliendesha mauaji sasa unapotaka digrii za theolojia ziwe kila kanisa unajielewa?

Pia uwepo wa utitiri wa dini nyingi zenye Imani tofauti tofauti.Kuna faida kubwa Sana nchi kuwa na dini nyingi na madhehebu mengi utitiri yenye Imani tofauti tofauti na viongozi wa dini wenye upeo mdogo wa uelewa Ni muhimu katika kulinda amani ya nchi.Kupanga mapinduzi huwa Ni kugumu mno sababu ya tofauti kubwa za kiimani.

Nchi mfano zenye dini moja au mbili tu mfano rahisi mno kupanga mapinduzi.nchi Kama somalia ,nchi Kama Rwanda iliwezekana sababu ya tatizo Hilo Hilo .Mauaji ya kimbari yalikuwa rahisi kupangwa ndani ya kanisa Katoliki sababu ndio wako majority ndio dini ya wahutu walio wengi wengi ukiunganisha na nchi hiyo kuwa na makabila makubwa mawili tu ya wahutu na watusi unaona kabisa ilivyo rahisi kufanya mapinduzi kwa kutumia muundo mbinu wa kanisa Katoliki au wa kikabila wa kitusi au kihutu.

Ukiwa na dini nyingi zenye imani tofauti husaidia kutunza amani na kuzuia uasi mfano waislamu wa siasa Kali wakiianzisha uasi waislamu wenye msimamo wa wastani wanapinga,walokole wakilianzisha wakatoliki hawaungi mkono,wakatoliki wakilianzisha wasabato wanalikataa nk nk kwa hiyo amani inadhibitiwa kwa kuruhusu dini ziwe nyingi iwezekenavyo na zenye Imani tofauti tofauti.Hapa ndipo wanasiasa husema dini Zina mchango mkubwa katika amani ya nchi.Nchi zenye dini moja au mbili kubwa mapinduzi marahisi kuyapanga.Nchi za Latin America Ni moja ya mifano na nchi za kiarabu.Nchi Kama Iran nk

Nchi kuwa na amani Moja ya silaha kubwa inayotumiwa na wanasiasa Ni ya divide and rule.Na chombo kimojawapo kikubwa kinachotumika Ni dini .Serikali inahakikisha hakuna dini Moja inakuwa na nguvu kubwa mno katika nchi kwa kuruhusu dini zingine zianzishwe au makanisa mengine yaanzishwe Kama waanzishaji hamna serikali yenyewe kupitia shirika lake la ujasusi inatakiwa itoe watu wafungue makanisa mengine yenye imani tofauti na ku ya finance Kama state churches zake au dini zake.Kukiwa na utitiri wa makanisa Ni rahisi serikali nayo kuanzisha Yake au dini zake na kupandikiza viongozi wake wa dini kwa ajili ya kulinda usalama wa nchi .

SI wote wanaamini kwenye kiongozi wa dini lazima kusoma, hao wasioamini wanahitaji kuwa na groups zao ukiwaacha ukawatupa nje unaua network ya security ya kuwafikia as a group of idiots whatever you call them!!!

Their churches ziwe street churches or whatever za muhimu Sana kwenye usalama wa nchi hasa zikiwa open Sio hidden secret groups.Kuwafungia unatengeneza hidden secret groups sababu hawawezi Sali kwenye hizo zako unazotaka wewe wataingia mafichoni.Na huko mafichoni kuwafikia shughuli pevu sababu ukiwafungia usitarajie watasali kwenye hayo yako unayoyataka

Kagame alichofanya Ni ku consolidate much powers kwa few religious Giants na ku kick out minorities waliozagaa kila mtaa na interior rural areas ambao Ni watu muhimu hata kupandikiza mashushu wa mtaa au Kijiji wakijificha kwenye hivyo vikanisa vya uchochoroni.Vikifutika Sio kesi kubwa Kagame atakuwa na hard time ya KU monitor what is in the streets au porini kwenye rural areas sababu angekuwa na hidden representatives kwenye hivyo vikanisa vya uchochoroni.Sasa hivi anabidi ajikombe kwa Kanisa katolki limsaidie kujua ya vichochoroni kwa kupandikiza mashushu kwenye jumuiya ndogo ndogo za Kanisa katoliki tu au aombe maaskofu wawe wanampa taarifa kila siku za Nini kiko kule kwenye jumuiya zao wampe security secrets za jumuiya husika.Na hiyo haitakuwa na ufanisi sana sababu sio watu wote Ni Catholics atakaoweza kuwadukua vizuri ni wale catholics tu wanaosali jumuiya za kikatoliki maeneo yao the rest hamna system ya kuwadukua sababu hawana mfumo wa kuwakusanya Kama group

Kagame amekosea alitakiwa aache dini zibaki huko huko.Wao wafanye Kazi ya KU plant mashushu tu kwenye hizo religious groups.

Uzuri vikanisa vidogo huwa Ni shock absorber pia kukitokea Tatizo.Mfano makanisa makubwa hutoa nyaraka za kupinga serikali na kuitisha maandamano.Vikanisa vidogo huibuka kupinga na kuwa upande wa serikali.Ukiyapa more powers Giants iko siku utalia kilio Cha mbwa.

Nyaraka zote za kupinga seikali nk hutolewa na dini kubwa zenye wasomi wenye digrii sababu wanafundishwa kupitiliza kwenye hizo digrii wakati hao wasionazo upeo wao unaishia kwenye dini tu huko kwingine hawakujui

Waliomshauri Kagame wana agenda ya Siri dhidi Yake atakuja ijua mbele ya safari.

Tanzania Ni nchi ya amani kwa sababu kuu mbili ya kwanza Nyerere aliposhika nchi alivunja ukabila kwa hiyo.kukawa hakuna kabila linalojitutumua dhidi ya mengine

Mwinyi alipokuja akavunja udini kwa kuruhusu dini huria za imani nyingi tofauti kuanzishwa ambazo haziivi kiimani na zingine kwa pande zote za ukristo na uislamu.

Kikwete alivypingia akapiga marufuku mtu akiajiriwa kujaza kabila lake au dini kwenye fomu.za maombi ya Kazi

Kenya walipata machafuko sababu ukabila wameshindwa kusambaratisha,Udini wameweza ila ukabila umewashinda kuusambaratisha

Rwanda pia ilipata matatizo sababu ukabila walishindwa kusambaratisha na udini walishindwa kusambaratisha.Baada ya Kagame kushika madaraka ukabila anausambaratisha vizuri mno ila kwenye udini kumemshinda. Aliposhika MADARAKA watu walikuwa tayari kufanya Kazi ya kusambaratisha udini kwa kuanzisha dini na makanisa lukuki kila Kona ili kuua nguvu kubwa ya udini kwenye dini kubwa uliokuwepo Sasa Kagame anafanya kazi ya KU consolidate dini kubwa ziwe more strong na kusambaratisha zinazoibuka!!!! Kwa hili Kagame na bunge lake hawako vizuri.Walitakiwa waache ziendelee kuchipuka tu hata zifikie milioni Ni vizuri tu Tena zikifikia mahali ambapo kila mtu ana dini Yake nyumbani tu hapo inakua POA zaidi

Simbachawene si kila kitu cha kuiga Rwanda
 
Hata hivyo sheria haiko sawa. Hata mimi nitaipinga tu kwasababu imekaa kinyonyaji.
Sheria ikipitishwa sharti ilenge watu wote kwa maana hiyo lazima kiongozi wa dini yoyote awe na shahada haijalishi ni mchungaji, padri au shekh. Wakristo wakilalamika wanaonewa kwa sheria kandamizi utakataa? Unamtaka mchungaji awe na shahada wakati kuna shekh ameishia darasa la 7 anaswalisha msikitini
Utaipinga weeee lkn haitasaidia chochote maana so far tumepinga sheria nyingi tu kuanzia za mafao,waandishi kua na diploma by 2021,sheria ya takwimu etc.

Lkn mwisho wa siku utake usitake tutazifuata tu boss.

dodge
 
Wewe size yako ni kuishauri UWT(Umoja wa Wanawake(wa ccm) Tz) lkn hao wakina Kagame hawawezi kukusikiliza-wanaona unapiga makelele tu.

Then waweke masharti ili kanisa lako lisajiliwe lazima uwe na jengo la kudumu(sio haya maturubai yanayotumika),uwe na vizuia sauti ndani ya jengo(sound proof),uwe na uwezo wa ku-rescue waumini incase of emergency na degree ya theology juu.

Tutakua tumepata mahala pazuri pa kuanzia.

dodge
Uhuru wa kuabudu si kila mtu anahitaji jengo.KUNA WATU wanaabudu mizimu makaburini,waislamu aweza sali popote hata barabarani akiwa safarini,wako waabudu milima nk sheria ukiweka hutakiwi kulenga kundi fulani tu hadi uonekane wazi kuwa wewe lengo lako unamuwinda mtu fulani au kundi fulani kwenye jamii
 
Kama ambavyo kuna sheria nyingi tu zilipitishwa kibabe na tukavumilia zikiwemo za mafao,waandishi wa habari kua na diploma by 2021,sheria ya takwimu etc. Then na hii ikipitishwa na vigezo vyote hivyo kutakiwa kufuatwa then mtafuata tu mtake msitake,kama hamtaki hameni nchi(kama vile wana CCM mlivyo zoea kuwaambia wengine).
Uhuru wa kuabudu si kila mtu anahitaji jengo.KUNA WATU wanaabudu mizimu makaburini,waislamu aweza sali popote hata barabarani akiwa safarini,wako waabudu milima nk sheria ukiweka hutakiwi kulenga kundi fulani tu hadi uonekane wazi kuwa wewe lengo lako unamuwinda mtu fulani au kundi fulani kwenye jamii

dodge
 
Ndizo hizo hizo zimemzuia Makonda kwenda USA. Hizo hizo sababu ndiyo katumia Zitto kupinga wasipewe fedha za elimu. Utakuja kushangaa Taifa stars inacheza na Senegal, lakini watanzania wamevaa jezi za Senegal na wanashangilia Senegal. Ndege imekamatwa, watanzania wanafurahia. Utakuja shangaa kiongozi fulani anaumwa lakini kuna kundi la watu wanamuombea afe.
HAYA YANAYOTOKEA, JE UNAPENDEZWA NAYO?
Utaipinga weeee lkn haitasaidia chochote maana so far tumepinga sheria nyingi tu kuanzia za mafao,waandishi kua na diploma by 2021,sheria ya takwimu etc.

Lkn mwisho wa siku utake usitake tutazifuata tu boss.

dodge
 
Ndizo hizo hizo zimemzuia Makonda kwenda USA. Hizo hizo sababu ndiyo katumia Zitto kupinga wasipewe fedha za elimu. Utakuja kushangaa Taifa stars inacheza na Senegal, lakini watanzania wamevaa jezi za Senegal na wanashangilia Senegal. Ndege imekamatwa, watanzania wanafurahia. Utakuja shangaa kiongozi fulani anaumwa lakini kuna kundi la watu wanamuombea afe. Tulikofikia inahuzunisha sana lakini lazima tupitie.

Hayo mambo tayari boss,hata mara ya Mwisho hapa Taifa Stars inacheza na Uganda mbona wabongo walikua wanasema waziwazi Bora stars ishinde tu sababu ya wakina makonda kuihususha Taifa stars na Ccm.

dodge
 
UKO SAHIHI

Waziri haelewi anachoongea nafikiri alikuwa aongee opposite kuwa waumini wa dini ndio wawe na digrii za dini sio viongozi wa dini.Kwa sababu kama ni uelewa labda waumini ndio hawana

Sababu mtu kama mfano TB JOSHUA au Mzee mwasapile wa kikombe cha babu elimu hawana lakini maprofesa na ma doctor walienda kukinywa NA kWA TB JOSHUA NIGERIA HUFURIKA KIBAO.Imani ni kitu complicated

Yeye asisitize tu usalama maeneo ya ibada kuwa viongozi wa dini wahahakikishe kuna usalama kwenye maeneo yao ya ibada.Hayo mengine ya wanaabudu nini awaachie wenyewe kama watakanyaga mafuta au mavi ya kiongozi wa dini shauri yao
download.jpeg
Hatari sana Mkuu..Kikombeee..dah!!!
 
Uhuru wa kuabudu si kila mtu anahitaji jengo.KUNA WATU wanaabudu mizimu makaburini,waislamu aweza sali popote hata barabarani akiwa safarini,wako waabudu milima nk sheria ukiweka hutakiwi kulenga kundi fulani tu hadi uonekane wazi kuwa wewe lengo lako unamuwinda mtu fulani au kundi fulani kwenye jamii
Teh teh, naona unawapa elimu ya bure.

Mtu kwa kuwa dhehebu lake lina jengo anataka sheria iseme madhehebu yote yawe na majengo. Najiuliza lingeanguka jengo la R.C wangefikiria mambo ya hizo sheria?

Ili suala gumu sana sababu wanataka kusolve mambo ya imani kwa kutumia sheria zisizo za kiimani. Ni ngumu sana kulingana na tofauti ya practice kwenye kila imani.

Kwenye imani ndipo sehemu Profesa na Asiyesoma wanafikiri Sawa Sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo sheria haiko sawa. Hata mimi nitaipinga tu kwasababu imekaa kinyonyaji.
Sheria ikipitishwa sharti ilenge watu wote kwa maana hiyo lazima kiongozi wa dini yoyote awe na shahada haijalishi ni mchungaji, padri au shekh. Wakristo wakilalamika wanaonewa kwa sheria kandamizi utakataa? Unamtaka mchungaji awe na shahada wakati kuna shekh ameishia darasa la 7 anaswalisha msikitini
Au unataka mtu mwenye imani ya mizimu awe na shahada? Huwezi kutumia kipimo kimoja kwenye utitiri wa imani ukawa Sawa.

Kwanza tatizo la Moshi si kukanyagana? Wangetatua hilo kwanza, Ukimfungia Mwamposa waumini wake wataenda kwa mwingine atakayeibuka tu.

Watu wanakanyagana viwanja vya mpira n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think its a perfect elimination solution
 
Na yesu alilisha watu elfu 5 mikate na samaki wakala na kushiba lkn siku hizi watu elfu 5 wanamlisha nabii 1 ili aendeshe helikopta,alipie walinzi wake,aendeshe magari ya kifahari.

dodge

What a laughable comments! Hivi unataka kusema ma Kaldinadi, ma Askofu na wachungaji wa Dini zenu wanatumia usafiri wa Bajaj na bodaboda?
 
Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.

Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.

Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitizaSimbachawene.

Source Clouds tv!
Hapo ndio mtaweza kuwaokoa watu. Wamegeuzwa shamba la bibi na vibanda imani. Kila mkora mwenye guts kupata utajiri kirahisi anaanzisha kanisa. Ili kufanikisha haraka chukueni uzoefu wa rwanda. Bila shaka mtapata upinzani mkali kutoka kwa wanasiasa wenye kutafuta pa kushika ila kueni imara. Eneo hili ni mojawapo ambapo nchi inaweza kusambaratishwa kirahisi na adui zake...mungu ibariki tanzania
 
Kwani wote si ni wale wale tu.

Au wewe nipe utofauti wao.
What a laughable comments! Hivi unataka kusema ma Kaldinadi, ma Askofu na wachungaji wa Dini zenu wanatumia usafiri wa Bajaj na bodaboda?

dodge
 
Dini ni biashara inayolipa sana!

Ukitaka kumchota akili mnyama,mchote kwa kumpa chakula;ukitaka kumchota akili binadamu,mchote kiimani.

Imani sometimes huzaa ujinga, na ujinga kwenye imani huzaa upofu!

Hiyo habari ya kuwa na shahada wala haitasaidia.
Kweli kabisa upo sahihi 100%.
Huko kwenye makanisa na taasisi zingine za kiimani wamejaa maprofesa wanachotwa akili na wahitimu wa elimu ndogo kuliko wao.
Wanapigwa pesa ndefu.
 
Back
Top Bottom