Simbachawene: Tunahitaji kuwafanya askari wawe wanaishi sehemu nzuri, wengi wanakaa uraiani

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuwaongezea ujuzi na utaalamu ili kuendana na mazingira ya sasa ya kiuhalifu ikiwemo uhalifu wa mitandaoni…………..

Ametoa rai hiyo, wakati akizungumza na Maofisa, Wakaguzi, Askari wa Renk na Faili wa Makao Makuu ya Polisi Zanzibar pamoja na mikoa mitatu ya Unguja

​
Wache wakae huku uraiani, ili mara nyingine tuwaonyeshe mkuki unaumiza nguruwe na binadamu pia
 
Back
Top Bottom