Rweyemam105
Senior Member
- Sep 8, 2012
- 105
- 154
Tupe baso utofauti wa gharama wakati wa kutoa kwa Card vs Cardless at ATM via Simbanking.Simbanking ni rahisi ila ni gharama zaidi kuliko Atm
UsirogweHallo wana JF.
Mimi ni mteja wa CRDB BANK, nimekuwa nikitumia TemboCard yao for years. Siku moja card yangu ikagoma kufanyakazi. Nilipoenda ku-report, wakaniambia kuwa chip ya card imeharibika, huenda ikawa imesababishwa na kuiweka kwenye wallet. Wakaniambia for the time being naweza kutumia Simbanking kwenye (ATM/Cardless) kutoa hela.
Naomba kujua kama charges za kutoa kwa ATM CARD ni sawa sawa na Ukitumia Simbanking.
Thanks.
Acha uongo Mimi NILIWAHI mtumoa MTU 20k Kwa nmb mkononi nikakatwa 10000 kasoroKutoa kwa card na bila card zina makato sawa kama utatumia ATM
Kaka nimesema kutoa fedha ATM(kwa kadi au bila kadi) sio wakala , bila kadi inamaana unagenerate code, utaweka namba ya simu na kiasi unatoa hela yako..Acha uongo Mimi NILIWAHI mtumoa MTU 20k Kwa nmb mkononi nikakatwa 10000 kasoro