Simba's fun nearly lost a wife

Simba's fun nearly lost a wife

Haiwezi kuwa hivyo, fun ni adjective
Ikiwa hujaona kosa basi napata shaka juu ya post uliyoweka kwa hii lugha
Yote kwa yote dhumuni ni utani tu, hata Ally Kamwe mwenyewe sio kwamba ni kweli alikua anaenda kumchukua mke wa Mwijaku ni tukio lilipangwa kuanza na kuisha kama ilivyotokea. Lengo ni utani sio kutoa darasa la lugha, kwaiyo kama imeeleweka sio mbaya
 
Nimeelewa mkuu yaishe
 
Back
Top Bottom