Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Hawa wazee pamoja na Filbert Bayi ni wazee waliorudisha nyuma maendeleo ya michezo hasa wa riadha kwa hila na fitina ili vijana wasionekane wakimzidi Filbert bayi.
Soma Pia: TOC kufanya uchaguzi Disemba 14, Filbert Bayi Kugombea tena
Tunaomba TAKUKURU NA SERIKALI IWATIZAME HAWA WAZEE KWA JICHO LA TATU; ikiwa ni pamoja na kufilisi mali zao.