MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Simbu, Geay na wanariadha wengine wa sasa na wa zamani mnajua jinsi gani shule ya sekondari Ilboru ilivyochangia mafanikio yenu kwa kuwaruhusu kufanya mazoezi kwenye uwanja wao. Uongozi wa shule umekuwa na uungwana wa ajabu. Mimi ninaandika huu uzi wa kuwahamasisha kufanya jambo la muhimu.
Kwa umaarufu na ushawishi mlio nao duniani hamshindwi kushawishi kiwanja kikafanyiwa marekebisho na kuwekewa njia za kisasa za kukimbilia (tartan). Ni aibu kwa mastaa wakubwa duniani kufanyia mazoezi kwenye kiwanja kisicho na hadhi ya olimpiki.