Simbu na wanariadha wenzako fanyeni jambo kwa ajili ya uwanja wa michezo wa sekondari ya Ilboru

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Simbu, Geay na wanariadha wengine wa sasa na wa zamani mnajua jinsi gani shule ya sekondari Ilboru ilivyochangia mafanikio yenu kwa kuwaruhusu kufanya mazoezi kwenye uwanja wao. Uongozi wa shule umekuwa na uungwana wa ajabu. Mimi ninaandika huu uzi wa kuwahamasisha kufanya jambo la muhimu.

Kwa umaarufu na ushawishi mlio nao duniani hamshindwi kushawishi kiwanja kikafanyiwa marekebisho na kuwekewa njia za kisasa za kukimbilia (tartan). Ni aibu kwa mastaa wakubwa duniani kufanyia mazoezi kwenye kiwanja kisicho na hadhi ya olimpiki.
 
Waambie viongozi wa serikali yenu. Wanajinunulia luxury vehicles kwa kodi za wananchi kila baada ya miaka 5 halafu unasema aibu kwa Simbu? What a reasoning, yeye mwenyewe anaganga njaa, sema na wahusika mkuu
 
Sasa mama samia si utafute mabwana huko waufadhil huo uwanja mtoto jicho nyanya unashindwa kuwatega washefa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…