kajembejr
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,289
- 1,317
Umeongea kweli rafiki yangu wa KiKenya...Japo Mimi mTanzania,lakini umeongea ukweli mtupuuUfisadi unatajwa sana Kenya kwa vile sisi tuna jeuri ya kupiga makelele, hatujadumazwa kama mlivyo huko, mnaliwa tena kibabebabe, juzi trilioni 1.5 zimetafunwa mkamuacha mkaguzi mkuu aongee na kuhangaika mwenyewe, nchi yote kila mtu chali, huwa mpo legelege kijinga sana.
Ingekua mnapiga makelele kama sisi, leo hii msingekua maskini mpaka nusra tuwazidi mara mbili kiuchumi licha ya kwamba mna raslimali nyingi mara kumi yetu lakini nyie wenyewe maskini wa kutupwa jalalani.