philipophilipo
Member
- May 16, 2020
- 88
- 95
Anaimba mnoMy favourite
Camilla ni🔥mziki ndio huko ivyo ukijua sana utaishia kusifiwa.camilla anajua sana but ariana anakmbza sana
Wimbo wa kuitwa soldier Falz feat Simi, natamani kumdediketia mtu. Ni hatari sana hiyo kitu. Simi anajua sana, namfananisha na Ruby!
Tafuta Stainless simi ft zoroWimbo wa kuitwa soldier wa Falz feat Simi, natamani kumdediketia mtu. Ni hatari sana hiyo kitu. Simi anajua sana, namfananisha na Ruby!
Huyu dada sema basi tu kina Yemi,Tiwa ndumba saana🏃🏃Tafuta Stainless simi ft zoro
Yemi Baba ke alikufa wakahifadhi maiti Kwa miezi karibu miwili huku anaendelea na tours..Huyu dada sema basi tu kina Yemi,Tiwa ndumba saana🏃🏃
😀😀Ili sikulifahamu kablaYemi Baba ke alikufa wakahifadhi maiti Kwa miezi karibu miwili huku anaendelea na tours..
Yaani ilikuwa ushirikina mtupu Kwa maoni yangu
Huyu muimbaji wa kweli. kasauti Amaizing
Numesikiza ana sauti sana mdadaTafuta Stainless simi ft zoro
Mnapoanzaga kuleta mihemko ndo hapo tu mnapoharibu..Huyu dada sema basi tu kina Yemi,Tiwa ndumba saana🏃🏃