carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Mbona huu ni utaratibu wa kawaida kwa baadhi ya makabila ya west Africa.. tena wengine wanahifadhi hadi miezi 6 kabla ya kuzika..Yemi Baba ke alikufa wakahifadhi maiti Kwa miezi karibu miwili huku anaendelea na tours..
Yaani ilikuwa ushirikina mtupu Kwa maoni yangu
Kwa wao kama mtu unamthamini sana basi akifa hautamzika chap chap.. kumzika mtu fasta wanaona ni dalili ya kutokumpenda sana.
Hakuna ushirikina ni tamaduni zao.