Simi yuko underrated sana

Simi yuko underrated sana

Yemi Baba ke alikufa wakahifadhi maiti Kwa miezi karibu miwili huku anaendelea na tours..
Yaani ilikuwa ushirikina mtupu Kwa maoni yangu
Mbona huu ni utaratibu wa kawaida kwa baadhi ya makabila ya west Africa.. tena wengine wanahifadhi hadi miezi 6 kabla ya kuzika..

Kwa wao kama mtu unamthamini sana basi akifa hautamzika chap chap.. kumzika mtu fasta wanaona ni dalili ya kutokumpenda sana.

Hakuna ushirikina ni tamaduni zao.
 
Nikiisikiliza Joromi sina kingine ninachohitaji kwa Simi. Yaani huyu dada aliua pale. Ile ngoma moja ni career nzima ya Tiwa😂😂
 
wanamuziki karibia naowajua walianzia kuimba kwaya makanisani wote wanasauti za uhalisia wa kuimba...lady jay de, kanyamozi, kidumu, john legend, simi, na wengine wengi sanaa.
hata ukiusikiliza muziki wanaouimba unafanana sana pamoja na kutokea mataifa tofauti tofauti na kutumia lugha tofauti,,,,ila kuna mtu hapo juu kamtaja camila cabello aisee yule mrimbwende anaimba sana bila kumsahau anne marie.
 
Camilla ni hatari. Nasikiliza hapa Never Be the same Aaaaaah
 
Yemi Baba ke alikufa wakahifadhi maiti Kwa miezi karibu miwili huku anaendelea na tours..
Yaani ilikuwa ushirikina mtupu Kwa maoni yangu
Mkuu hiyo Hali Ni kawaida kwa mataifa flan , Kuna rafiki yangu msouth aliniambia huwa wanahifadhi maiti mieizi kuanzia mitatu Nikabaki mdomo wazi Tena bila sababu ya maana..

Nilimwambia sisi Tanzania ikipita wiki kabla marehemu hajazikwa Kuna kuwa na sababu ya ziada na yeye akatushangaa kwanini tunawahi kuzika marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada ananikosha na kibao chake kiitwacho joromi..
 
Tatizo hilo jina ndio linamuangusha sana.
 
Kawimbo kanakoitwa Jericho kananimalizia mb zangu tangu nipate kukasikiliza, na huyo patoranking wamekutana wote mafundi ningekuwa msanii ningemtafuta huyu Kaka tukafanya yetu aina yake ya uimbaji uchezaji unanisisimua sana
 
Ni tafsiri yako tu mkuu lugha ya kibantu neno laweza kuwa tusi kwa jamii flani ila kwa jamii nyingine ni neno lenye maana nzuri tu
Tatizo hilo jina ndio linamuangusha sana.
 
Back
Top Bottom