Simi yuko underrated sana

Usitake kuniaminisha na dudu bay, umber ruti, john makin, juma jux nao waliptia katika sehemu takatifu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
MillardAyo asante kwa kupiga track zake leo
 
Huyo SIMI ni hatari, najuta kuchelewa kumfahamu. Jericho sijawahi kuichoka walahi tena, na ana ngoma nyingi tu kali nizisikilizaga Boomplay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.ayo
2.lovin'
3.duduke

N/B.hiyo namba moja nimeisikiliza sana na nikiwa honeymoon na shemeji yenu.. huwa natamani kulia nikiusikiliza
 
Simi
Jina lake matusi. Yaani bonge moja la mjisimi.
Back to the subject, ana sauti nzuri sana.
 
Nasikiliza hii nyimbo mpya ya Simi inaitwa Duduke Daaah huyu Simi ni Underrated...



Hawa kina Yemi Alade,Tiwa Savage sijui wanampitaje kimafanikio..

Lakini mziki wa Simi ni Quality saana...Kama Camila Cabello wa Afrika
Huyu dada n hatar kaka, nlianza kumfatilia kwenye wimbo aloshirikishwa na jamaa anaitwa Falz hadi leo hunambii kitu, hiyo duduke siyo poa asa tafuta wimbo unaitwa KNOW YOU kashirikishwa na jamaa anaitwa LADIPOE siyo poa mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…