SIMIYU: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa (mganga wa kienyeji) akiwa na fisi

Mganga huyo alieleza kuwa anamtumia fisi huyo katika shughuli za uganga wa jadi ikiwa ni pamoja na kumtumia kama chombo cha usafiri anapotaka kupaa angani,” imeeleza.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna matukio mengi yanahitaji utatuzi wa jeshi la polisi sio kwenda kumkamata mganga na kumfungulia mashtaka ambayo mnajua kabsa wengi wanafanya. Wekeni kambi usiku sehemu tajwa mkaone fisi zinavyotembea mwendokasi wa engine V16. Mwanamalundi angekuwa hai basi naye angekuwa matatani kwa mujibu wa Polisi na Mamlaka za Wanyamapori.πŸ‘ŒπŸΏπŸ’ͺ🏿
 
Kuna matukio mengi yanahitaji utatuzi wa jeshi la polisi sio kwenda kumkamata mganga na kumfungulia mashtaka ambayo mnajua kabsa wengi wanafanya. Wekeni kambi usiku sehemu tajwa mkaone fisi zinavyotembea mwendokasi wa engine V16. Mwanamalundi angekuwa hai basi naye angekuwa matatani kwa mujibu wa Polisi na Mamlaka za Wanyamapori.
 
Haki itendeke

 
Ni kweli kabsa mkuu! Dogo Emma wanamuonea bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…