SIMIYU: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa (mganga wa kienyeji) akiwa na fisi

Nikosa mtu mweusi kumtumia fisi Kama usafiri lakini sio kosa mzungu kumtumia farasi Kama usafiri

Kwa sababu farasi ni chombo Cha moto lakini fisi ni samaki Aina ya kamble

Na hii ndiyo Africa
 
Hayo ni magari ya wasukuma huko usukumani.
 
Fisi anatumika kama chombo cha usafiri, inabidi apate kibali kutoka Latra.
 
Washughulikiwe hao wafuga fisi.Waeleze huwa wanawalisha nini hao fisi hadi watosheke?Au ndiyo huwa wanawaachia na kukamata watu na kuwatafuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…