Uchaguzi 2020 Simiyu: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Simiyu: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Simiyu una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:-

Bariadi -
Andrea Kundo (CCM) - Kura 92,488
Maendeleo Makoye (CHADEMA) - Kura 33,339

Busega -
Saimon Songe (CCM)

Itilima -
Njalu Daud Silanga (CCM)

Maswa Magharibi -
Mashimba Ndaki (CCM)

Maswa Mashariki -
Nyongo Stanslaus Harun (CCM)

Meatu -
Leah Komanya (CCM)

Kisesa -
Luhaga Mpina (CCM)

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Lengo na mwanzisha mada ni kuwashirikisha wengine, yeye kaweka misingi tu.
Yani utadhani JF yake, kakaba kila kona. Ange report alipo na wengine wapate fulsa ku report.

Ana taka ku control JF habari za uchaguzi na matokeo?!
 
Yani utadhani JF yake, kakaba kila kona. Ange report alipo na wengine wapate fulsa ku report.

Ana taka ku control JF habari za uchaguzi na matokeo?!
Nyuzi zake nyingi zimedoda hazina updates hata yeye tu hafanyi updates.
 
Ni Magufuli tuu kanyaga twendeeeeee. Naiona TANZANIA bora kabisaa.

Congratulations in advance President Magufuli

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom