SIMIYU: Mmoja ajinyonga mpaka kufa akiwakimbia RC Kafulila na Rais Samia

kwa hiyo akifa sasa wanae wataishije?
Aulizwe aliyeandika huo ujumbe.

Hakuna mwenye hakika kama marehemu ndie mwandishi na kajiua.

Nchi zilizoendelea, zenye vyombo vya wachunguzi weledi, na raia wasomi, na wana habari wataalam, wakikuta kitanzi shambani hawakimbilii kusema marehemu kajinyonga, bwana ametoa, bwana ametwaa, chanzo Kafulila, twendeni tukaswali halafu tukazike. Hell freaking no!
 
Majizi yakiisha ndio safi ..

Hiyo Kanda ina majizi Sana ,mwengine haya hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220529-202150.png
    204.4 KB · Views: 21
Kuna uhakika kiasi gani kwamba hio SMS alituma yeye, na amekutwa amejinyonga au amenyongwa ?

Ni vigumu kutoa conlusion za haraka haraka kabla ya uchunguzi, au uchunguzi ushaisha ?
 
Kuna uhakika kiasi gani kwamba hio SMS alituma yeye, na amekutwa amejinyonga au amenyongwa ?

Ni vigumu kutoa conlusion za haraka haraka kabla ya uchunguzi, au uchunguzi ushaisha ?
Sasa simu si ni yake? Rushwa haifai kabisa,
 
πš”πš‘πšŠ πšŽπšπš’ πš πšŠπš—πšŠπš—πšπšž πš πšŠπšπšŠπš’πšœπš‘πš’πš“πšŽ πš”πšŠπš–πšŠ πš—πš’πšπšŠπšπšžπš—πšπš πšŠ 𝚜𝚊𝚜𝚊 πšŠπš•πš’πšŸπš’πš˜πš”πšžπšπšŠ πš πšŠπšπšŠπš’πšœπš‘πš’πš“πšŽ πš‹πš˜πš›πšŠ πšŠπš—πšπšŽπšπšžπš—πšπš πšŠ πšœπš’πš˜ πš”πšžπšπšŠ πš‘πšŠπš’πš—πšŠ πš›πšžπšπšŠπšŠ
 
Hv angeacha kazi akikimbilia hata kokote akatafutwa wee akakosekana akaamisha familia yake ingekuwa je?
 
Hujui wataishije ukifungwa.

Ila ukifa ndiyo utajua?
 
Aliogopa akifungwa watoto wake wataishije, alivyo amua kujinyonga wataishi vipi? Maisha mengine unazitafuna vizuri upepo ukigeuka mmm pumzika sasa sijui ni kwa amani!
Mtu akishafikia kiwango cha juu katika kukata tamaa ya kuishi basi atatoa sababu yoyote kuhalalisha kitendo anachotaka kukifanya huku sababu hiyo ikiwa haina mashiko kabisa kwa mtu yeyote aliye na utulivu wa akili.
 
Amekosea sana,
 
Sawa kafulila tumekusoma ,so umefurahia jamaa kujiua
 
Mmmh, wamemtumisha hiyo meseji kinguvu halafu wakamnyonga, uchunguzi ufanyike na waliomnyonga wapatikane
 
Sasa wanawe wataishije na Amejiua!? [emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…