SIMIYU: Mmoja ajinyonga mpaka kufa akiwakimbia RC Kafulila na Rais Samia

Sometimes roho ya kujiua ni kama mtu anakutupia
 
Umeshamuamini marehemu tayari,kwa ujumbe ambao huna uhakika Kama ni wa marehemu
Sijahukumu. Vyombo vya upelelezi vipo na vya kutoa haki vipo.
Hapo ndio pa kuanzia.
Inawezekana ikawa kama ya yule polisi wa Mtwara au bwana Mwijabe wa Hazina.
 
Uchunguzi muhimu hapooo
 
Kwahiyo amejinyonga pamoja na wanae?
 
Katumbili katawanyoosha, haka kajamaa naona kana moyo wa uzalendo aise
Tumbili ni tumbili tu. Hukumbuki kalinunuliwa kwa Bei ya jioni kwenye utawala wa mtu yule?
Kujipendekeza kwingi.
 
Wewe unatakaje?
 
Duh!
 
Jamani tuwe tunaongea matatizo yetu na watu tunaowaamini inasaidi kutojitoa uhai km huyo karani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…