SIMIYU: Mmoja ajinyonga mpaka kufa akiwakimbia RC Kafulila na Rais Samia

Ndio wakati pekee katika historia ya Taifa hili Pamba iliuzwa TZS 2,200

MUNGU AISHI NA WEWE NDG YANGU KAFULILA.
 
Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Wezi na Mafisadi wasipate nafasi kabisa katika nchi hii.


#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Kafulila Kafulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…