Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Mtoto Lameck Yohana (6) amekufa maji baada ya kuteleza kwenye dimbwi alipokuwa akichota maji na kufanya idadi ya watu waliokufa maji tangu Januari mpaka sasa kufika 12 mkoani Simiyu.
Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Bunamhala mjini Bariadi ambapo mtoto huyo akiwa na wenzake walienda kuchota maji kwenye dimbwi ambalo limetokana na uchimbaji wa molam kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
Chanzo: UFM