Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Tz iko makini kwenye Jambo gani? Kinachofanyika hapa ndio kama kinachotokea kwenye kila uchaguzi, chama tawala na hao polisi wakiongoza zoezi, kwa makusudi maalum!Simiyu ndio kila mwaka inongoza..Necta bado hawajawa serious..kuna madudu mengi sana.
DEO na REO kimyaaaaaa kama vile hawapo,"Niwatake Watumishi wote wanaohusika na usimamizi wa mitihani ya kidato cha 2 na cha 4 kuacha vitendo vyovyote vya udanganifu wa mitihani kwani Kamati ya mitihani ya Wilaya na Mkoa kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi halitafumbia macho suala hilo" Shadrack Masiji Kaimu RPC Simiyu
Yaani!Kuna watu wana shida sana
Ni ujinga kwakweli...Yaani!
Sasa watu watoro, ye mkuu anasumbuka na nini?!! Kwani hao watoro wa mtihani wangemshushia ufaulu? Mi nilifikiri wastani unatafutwa kwa waliofanya tu, au kwa waliosajiliwa bila kujali amefanya au hakufanya?!! Dunia ina mambo sana hii
Ajali kazini, pole yake sana...
watoro wanashusha wastani wa ufaulu katika shule, huyo mwalimu alitaka kuziba ombwe kwa kujaza hao wanafunzi wawafanyie mtihani watoroYaani!
Sasa watu watoro, ye mkuu anasumbuka na nini?!! Kwani hao watoro wa mtihani wangemshushia ufaulu? Mi nilifikiri wastani unatafutwa kwa waliofanya tu, au kwa waliosajiliwa bila kujali amefanya au hakufanya?!! Dunia ina mambo sana hii
Alaa, kumbe! Kama hivyo jamaa kumbe alikuwa anajaribu kujiongeza ili kulinda nafasi maana siku hizi ukiwa Wa mwisho kazi unayo....namaanisha cheo haunawatoro wanashusha wastani wa ufaulu katika shule, huyo mwalimu alitaka kuziba ombwe kwa kujaza hao wanafunzi wawafanyie mtihani watoro