cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Miaka 30 ni mzee? Ndo kwanza naskia hapa, miaka 13 ni binti mkubwa kwa sasa huyu anaweza kuwa 4m 1, kwa hali iliyoko huku mtaani, hao watu walikua wapenzii, labda mimba ndo msingi wa case na sio kubakaa.
Enyi vijana na wazee epukeni mitego ya watoto wa primary na secondary ni risk kwenu. Msiseme hamjaambiwa.
Enyi vijana na wazee epukeni mitego ya watoto wa primary na secondary ni risk kwenu. Msiseme hamjaambiwa.