Simiyu: Mwenyekiti wa Kitongoji ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kumbaka Msichana wa miaka 13

Simiyu: Mwenyekiti wa Kitongoji ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kumbaka Msichana wa miaka 13

Miaka 30 ni mzee? Ndo kwanza naskia hapa, miaka 13 ni binti mkubwa kwa sasa huyu anaweza kuwa 4m 1, kwa hali iliyoko huku mtaani, hao watu walikua wapenzii, labda mimba ndo msingi wa case na sio kubakaa.

Enyi vijana na wazee epukeni mitego ya watoto wa primary na secondary ni risk kwenu. Msiseme hamjaambiwa.
 
Daah asiee nyege zinatupeleka vibaya sana ase!
 
Nawaza hukumu ya Muhammad alietembea na katoto Cha miaka 6 ingwkuwaje kama angekuwa zama hizi
 
sasa bwana mdogo miaka 30 anakuaje mwenyekiti wa kitongoji?
hakuna watu wazima huko ?
 
Back
Top Bottom