Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Aliyezungumza ni ACP ngoja tuheshimu mamlakaKwa hiyo ukinywa pombe ukafariki, unajipeleka mwenyewe kwenye Sandarusi?
Pathetic!
acha upumbavu wewe, mtu anywe pombe halafu ajiweke kwenye sandalusi??Aliyezungumza ni ACP ngoja tuheshimu mamlaka
Mkuu umepaniki sanaacha upumbavu wewe, mtu anywe pombe halafu ajiweke kwenye sandalusi??
Sandarusi ni kitu gani jamani naombeni mnitafsirie kwa neno jingine.
Asante sasa nimeelewaNi kiroba... mkuu
Ni mifuko yenye nyuzi za plastiki ambazo hutumiwa kuwekea nafaka kama mahindi, mchele n.kAsante sasa nimeelewa
Si hata yule wa mabus naye aliishia kwenye viroba. Mwanza /Simiyu nani kawafundisha hayo?Mwili wa kijana Ezekiel Boniphace Mangu (30) mkazi wa Kata ya Somanda Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, umekutwa umewekwa kwenye Sandarusi na kufunikwa na shuka kichakani.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kijana huyo aliyekuwa akifanya kazi ya ulinzi alipotea usiku wa Desemba 31/2022.
Kamanda wa Polisi mkoani Simiyu, ACP Blasius Chatanda, amesema kijana huyu amefariki kwa kunywa pombe huku baadhi ya wananchi wakivitaka vyombo vya usalama kuongeza uchunguzi zaidi
Chanzo: EATV
Asante. Mimi ilikuwa naujua kwa jina la kiroba.Ni mifuko yenye nyuzi za plastiki ambazo hutumiwa kuwekea nafaka kama mahindi, mchele n.k
Ukienda sokoni utakuta wamewekea mahindi.