Simiyu: Mwili wa mtu waokotwa kwenye sandarusi

Haya mambo ya miili ya watu kukutwa kwenye sandarusi tulishayasahasau.yanatoka wapi tena jamani
 
Kamanda wa Polisi mkoani Simiyu, ACP Blasius Chatanda, amesema kijana huyu amefariki kwa kunywa pombe huku baadhi ya wananchi wakivitaka vyombo vya usalama kuongeza uchunguzi zaidi
Amekunywa pombe na kujifunika shuka akiwa kwenye sandarusi!!!
 
Huyo kamanda mh! Yani mtu alewe kisha ajitie kwenye sandarus ajifunike na shuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…