Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya tumbo moja NO ila nafahamu watoto wa baba mdogo au mama mdogo au baba alipita Kwamtogole akagonga mihuri huko watoto wanakuja kukutana bila kujua wanaoana wakienda kutambulishana ndipo taratibu za dawa zinafuataNdugu wa tumbo moja?
Kumbe hata Mwarabu koko naye anatambulika kama Mwarabu kamili!Uongo huo.
Tupo wenyewe hapa, Waarabu wa kuchovya.
Kwanza jua jinsi ya kuandika kiswahili ndipo utoe hoja. Neno ni hiyoWewe unasema Ila Mimi nakwambia wakikata rufaa wanachomoa hio kesi
Umekazania hii, je na wewe unakula dada yako? Kama unafanya hivyo acha mara mojaWakikata rufaa na mwanasheria mzuri hii kesi wanachomoa
Waarabu wengi wa Tanzania ni Waislam na Waislam hawaoani dada na kaka.
Usizuwe.
Ukiona neno "waarabu", huwa unakurupuka hata kama upo uani!!Uongo huo.
Tupo wenyewe hapa, Waarabu wa kuchovya.
Hao ni wanashangaza sana. Lakini ndugu na jamaa walikua wapi kuwaonya Hadi wanaishi miaka 6,. Yani ndg upande wa baba na upande wa mama ilitakiwa wakemee kabisa Hilo jambo Hilo.Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
Hawakuwa wa baba na mama mmoja, ni watoto wa baba mdogo na mkubwa.Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
Ndio sheria ipo wewe unafikiri mahakama huwa inajiamulia tu?Habari za kimaskini.
Kuna sheria inakataza watu hata iwe ndugu wasioane. Mbona hayo ni mambo binafsi ya familia na sehem nyingine ni mila na tamaduni
KIBIBLIA NI HUKUMU KUTOKA KWA MUNGU KWA KUFUNUA UTUPU WA NDUGU WA DAMU [KUFANYA TENDO LA NDOA NI LAANA HATA ATAKAYEZALIWA]Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
OOh, unauliza jibu? Mwaka wa 42 huu nakula nyama ya hamu.
Kwetu hatuowani na watu wa mbali wakati wgtoto wa wajomba, shangazi, mama wadogo, mama wakubwa, baba wadogo, baba wakubwa wamejaa. Yanini tabu na raha ipo?
Nasaba.
Faidha unapotosha Sasa !!!OOh, unauliza jibu? Mwaka wa 42 huu nakula nyama ya hamu.
Kwetu hatuowani na watu wa mbali wakati wgtoto wa wajomba, shangazi, mama wadogo, mama wakubwa, baba wadogo, baba wakubwa wamejaa. Yanini tabu na raha ipo?
Nasaba.
Lazima nije nikamatie Toto la kiarabu au unasemaje faizaHamjuwi hata baba'ke. Ameambiwa tu, lakini ukimuona ni Mwarabu kabisa.
Madhara na uchafu wa uzinzi na uasherati.
Yeah!,nakumbuka sheria inatumia biblical words ama Quran kufanya reference na kutoa hutumiaKuna sheria inakataa ndugu kuoana?