Simiyu: Ndugu wa damu wahukumiwa Miaka 20 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama Mume na Mke

Simiyu: Ndugu wa damu wahukumiwa Miaka 20 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama Mume na Mke

Sheria ndo inavyosema
1000257630.jpg
 
Haramu "kutafunana" nje ya ndoa na yeyote yule. Tunaowana kisheria kabisa.

Sisi siyo washenzi wa "kutafunana" nje ya ndoa .
"Sisi" ,wewe na nani ?!!

"Wako jirani zangu" walikuwa wanatafunana...watoto wa "ami" tena nje ya ndoa....

Usiseme "waarabu"...sema uislam na ukristo uko kinyume na ZINAA....

Al kamaluLillahi
 
Mzee wangu umeenda mbali sana Ila tu nikwambie Sheria haiishii hapo ndio maana nasema wakikata rufaa wanachomoa
The court of the law will determine the suit with the issues argued for me in the court of appeal they will not successed
 
Back
Top Bottom