Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Tuliza kichwa. Hiyo ni S. 158 ya Penal CodeLMA nimekwambia sitaki LMA nitakugonga makofi leta Penal Code
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza kichwa. Hiyo ni S. 158 ya Penal CodeLMA nimekwambia sitaki LMA nitakugonga makofi leta Penal Code
Sio kumla?Kufunga nae ndoa
Haya sawa kwa hio hapo Wewe ndio umeona kifungu?Tuliza kichwa. Hiyo ni S. 158 ya Penal Code
Huruhusiwi Mkuu, ila upande wa binamu sheria yetu ipo kimya. Kati ya watu ambao imekatazwa kuoana nao binamu hayupo.Kwa hio Jamaa yako unaruhusiwa kumla?
Hiyo ni Section 14 ya Law of Marriage Act (kifungu cha 14 cha Sheria ya Ndoa).14. Prohibited relationships
(1)
No person shall marry his or her grandparent, parent, child or grandchild, sister or brother, great-aunt or great-uncle, aunt or uncle, niece or nephew, as the case may be.
(2)
No person shall marry the grandparent or parent, child or grandchild of his or her spouse or former spouse.
(3)
No person shall marry the former spouse of his or her grandparent or parent, child or grandchild.
(4)
No person shall marry a person whom he or she has adopted or by whom he or she was adopted.
(5)
For the purposes of this section, relationship of the half blood shall be as much an impediment as relationship of the full blood and it shall be immaterial whether a person was born legitimate or illegitimate.
(6)
For the purposes of this section grandparent, grandchild, great-child, great-uncle and great-aunt include, as the case may be, grandparent, grandchild, great-uncle and great-aunt of any degree whatsoever.
(7)
Persons who are, by this section, forbidden to marry shall be said to be within the prohibited relationships.
Kwa hio Wewe mtoto wa Mjomba au Shangazi unaruhusiwa kumlalia kwa juu?Huruhusiwi Mkuu, ila upande wa binamu sheria yetu ipo kimya. Kati ya watu ambao imekatazwa kuoana nao binamu hayupo.
Hiyo ni kwa mujibu wa sheria yetu ya ndoa
Hivi kuna waarabu wakristo Tanzania?Waarabu wengi wa Tanzania ni Waislam na Waislam hawaoani dada na kaka.
Usizuwe.
OOh, unauliza jibu? Mwaka wa 42 huu nakula nyama ya hamu.Hujaolewana binamu kweli weww
Nimesemaje usitumie LMA huelewi?Hiyo ni Section 14 ya Law of Marriage Act (kifungu cha 14 cha Sheria ya Ndoa).
Ebwanawee kwa hio binamu kakutafunaOOh, unauliza jibu? Mwaka wa 42 huu nakula nyama ya hamu.
Kwetu hatuowani na watu wa mbali wakati wgtoto wa wajomba, shangazi, mama wadogo, mama wakubwa, baba wadogo, baba wakubwa wamejaa. Yanini tabu na raha ipo?
Nasaba.
Niliwahi kukutana na mmoja tu, Mtanzania. Tena huyo alikuwa ni mtoto wa nje wa Mwarabu, kalelewa na mamake kama singo mama, akafata dini ya mama, anaitwa Abdallah Rashidi.Hivi kuna waarabu wakristo Tanzania?
Binafsi siwezi ila sheria haijanikataza kufanya hivyo.Kwa hio Wewe mtoto wa Mjomba au Shangazi unaruhusiwa kumlalia kwa juu?
Huyo lazima wenzake wakamtengaNiliwahi kukutana na mmoja tu, Mtanzania.
Sheria ndoa ta 1971,kifungu 13 .Hivi kumbe katiba yetu inakataza kaka na dada wa damu kuoana?
Hamjuwi hata baba'ke. Ameambiwa tu, lakini ukimuona ni Mwarabu kabisa.Huyo lazima wenzake wakamtenga
Simiyu kwenyewe wanaishi wenyewe kwa wenyewe tu wa kuja ni wachache sana kwa hio huyo ni mmoja tu kati ya wengi wanaofanya hivyoNSIMEONA NDUGU WAKISHANGILIA
HUYU JAMAA INAONEKANA KATOM...SANA NDUGU WENGI
A
NDUGU WAKAMLIA RADA WAMALIZANE KUPITIA WA DAMU
ILA JINSI WANAVYOFURAHIA KAWACHOMEKA ZAIDI YA DADAKE