gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Nimeuliza kwa sheria gani?Jibu swali unaruhusiwa kumlalia kwa juu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza kwa sheria gani?Jibu swali unaruhusiwa kumlalia kwa juu?
Kuna mdau ameshakujibia tayariNimeuliza kwa sheria gani?
Una umri gani bobu!?..mbona maswali ya kiwaki!!Sio kumla?
Iwe fundisho kwa wengineWashazaa wanawafunga ili iweje
Umewahi kuliwa na binamu yako?Una umri gani bobu!?..mbona maswali ya kiwaki!!
Wakikata rufaa wanachomoa hio kesiIwe fundisho kwa wengine
Mkuu, ukisikia kesi ya jinai ujue anaeshtaki ni serikali chini ya Mwendesha mashtaka wa serikali.Aliwafungulia kesi ni nani?
Tuanzie hapo kwanza
Ni incest hiyo mkuu, kesi ya jinai.Hivi ni criminal offence kumla ndugu yako eeh!?,nilijua ni moral wrong tu
Huwezi maana sheria ya Tanzania inakataza ndugu wa damu kugusanisha vikojoleoWakikata rufaa wanachomoa hio kesi
Wewe unasema Ila Mimi nakwambia wakikata rufaa wanachomoa hio kesiHuwezi maana sheria ya Tanzania inakataza ndugu wa damu kugusanisha vikojoleo
Chadema changamkieni fursa hiyo. Wekeni mawakili wakotosha. Kwani hakuna upuuzi ambao hamuuteteiHii kesi ndogo sanaaa wapate wakilii mtiifu basii
Hio nini HIO?Hii hamjaiona:
Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati. Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi. Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa...www.jamiiforums.com
Section 158,160 na 161 of the penal code cap 16 Re 2019 inaelezea incest ambapo kosa lake ni miaka 20 jelaHivi kumbe katiba yetu inakataza kaka na dada wa damu kuoana?
Wameonewa tu, mbona waarabu na hata wahindi wanaona wao kwa wao na hatujasikia wamefungwa, hili neno ndugu wa damu maana yake ni nini?Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
2021 no like sometimes uwe serious basi Wewe mwanao wa kumzaa unaweza?Hii hamjaiona:
Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati. Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi. Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa...www.jamiiforums.com
Hawa chomoki hii sio kesi ya kwanzaWakikata rufaa wanachomoa hio kesi wapate mwanasheria mzuri tu
Kaka na dada ?!!!Kwa Nini waarabu wanaoana dada na kaka na hawawafungi?
Hiyo ni culture yao ila kwa norms za nchi hairuhusiwi ukisoma chapter 25 ya penal code utaelewaWameonewa tu, mbona waarabu na hata wahindi wanaona wao kwa wao na hatujasikia wamefungwa, hili neno ndugu wa damu maana yake ni nini?