Pre GE2025 Simiyu: Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Chadema watangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa, Wanakuwa ni Mkoa wa 17 sawa na 55% ya Mikoa yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakala wenu nani? Maana msije mkaanza kulia lia BOX likishafunguliwa na kura zenu zikawa hazifiki hata robo.
 
Maoni: inaweza ikawa huu ni mchezo mwingine wa kisiasa… Labda Mbowe alikuabaliana na wale jamaa awe mwenyekiti na agombee Urais na akavuta chake sasa atakengeuka vipi … “ Lissu jifanye unautaka uwenyekiti alafu ushinde , tuuwe ndege wawili jiwe MOJA”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…