Pre GE2025 Simiyu: Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Chadema watangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa, Wanakuwa ni Mkoa wa 17 sawa na 55% ya Mikoa yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yote yanawezekana
 
Kwamba uchaguzi huu wajumbe wanapiga kura kwa mafungu au kila mjumbe anapiga kura tena kwa Usiri ? Nadhani hizi mambo za hivi ndio mwisho wa siku huwa zinaleta taharuki kwamba niliibiwa....; Au mfumo ni college votes kama USA ?
 
Ni wazi Muda na Nyakati hizi zimemkataa Mbowe. I don't know why yeye bado analazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…