Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

Bariadi moto umewaka , Asanteni sana wananchi
Screenshot_2024-04-24-18-54-34-1.png
Screenshot_2024-04-24-18-54-24-1.png
Screenshot_2024-04-24-18-54-05-1.png
Screenshot_2024-04-24-18-54-14-1.png
 
facial expressions and body language of peoples power on the rally tells every things....

inatia huruma sana, sidhani kama wanamsikiliza huyo kiongozi wao wa kitaifa......

chairmani hakukikosea kuwaambia wana chadema wamekua laini zaidi ya maini, and these on photoz is the open truth :DisGonBGud:
Sasa kama macho huna hilo haliwezi kuwa kosa letu
 
siasa ni sayansi ndrugu zango 🐒

dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine 🐒

it can't be and it is useless....

uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe 🐒
Hapana Mimi napingana na wewe.
 
Wewe unaakili ya UMALAYA wakisiasa!!Nina uhakika hata hata degree uliyonayo huna akili yakuitumia maana unaweza unafiki wa CCM .
We si umefunzwa na kufuzu vizuri mihemko na kuporomosha matusi kwa mpangilio tu, kuna kitu ingine unajua kweli wewe? acha uvivu Mwana parokia, na kipaimara si umepata kabisa :pedroP:
 
tangu lini mvivu akaeleweka kama sio ubishi na mihemko ya kukata tamaa na kulazimisha wenye bidii wawe wavivu kama yeye 🐒

Nasisitiza tena kwamba,
jukumu la kupambana na ugumu wa maisha ni lako mwenyewe binafsi, upende usipende 🐒

ujinga wa mtu unakoma pale tu anapotambua na kuelewa kwamba hapa naingizwa chaka. Mathalani, maandamano yamepuuzwa na watu wenye uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya nani mwenye jukumu hasa la kupambana na ugumu wa maisha 🐒

wajinga na wavivu wachache, singependa kukuita wewe mjinga kwasabb umezengumza mfano moja wa kibiblia na kwa hivyo inawezekana wew umetekwa na kufungwa na nguvu za giza kwenye ufahamu ndio maana upo kwenye maandamano yasio na tija 🐒

hiyo,
nitakuombea tu Baraka na Neema za Mungu na itakwishwa na utarudi kwenye normal sense zako 🐒

vinginevyo wengi wametekwa kwasabb ya uvivu, ujinga na tamaa zao kutamani maisha mepesi bila kufanya kazi kwa bidii....

and that is wrong 🐒
Naona umeamua kujaza server za JF bure tu..

Hakuna unacho - argue hapa..

Ni kwamba, umeamua kuweka michoro ya maandishi tu isiyo na substance ya hoja zozote..

Pole sana, kwa heri, inatosha..
 
Naona umeamua kujaza server za JF bure tu..

Hakuna unacho - argue hapa..

Ni kwamba, umeamua kuweka michoro ya maandishi tu isiyo na substance ya hoja zozote..

Pole sana, kwa heri, inatosha..
kwahiyo hapa umeargue 🤣🤣🤣
 
Ndiyo maana ktk nchi iko inayoitwa "serikali". Kazi ya serikali kuiwezesha hii sayansi itende kazi kwa manufaa ya wananchi

Serikali ikishindwa kuifanya hiyo uliyoita "sayansi" hapo☝🏻☝🏻 juu kutengeneza mazingira bora ya watu kufanya kazi zao kwa manufaa yao:

Mathalani ni kufanya kazi kwa bidii ili watu wanufaike na bidii yao ya kazi ni na kufanya maisha yaende kwa urahisi inategemea na haya yanayopaswa kufanywa na serikali;

√ Uwezo wa nishati ya umeme wa uhakika na wa bei rahisi
√ Uwepo wa miundombinu bora ya usafiri na usafirishaji
√ Uwepo wa sera bora za kilimo na bei za mazao ya kilimo kwa wakulima..
√ Uwepo wa mazingira salama na rafiki ya kibishara..
√ Uwepo wa huduma bora za kijamii mf. afya, elimu, kisheria nk nk
√ Uwepo wa sera nzuri na rafiki za kodi
√ Uwepo wa mifumo imara na madhubuti kudhibiti rushwa na ufisadi serikalini.
√ Uwepo wa mfumo thabiti wa kisheria na utoaji haki nk nk

Sasa niambie jukumu la hayo yote ni la nani? Sio la serikali? Vipi inapokuwa imeonekana iwaziwazi kuwa imeshindwa kutekeleza wajibu wake?

JIBU NI: wananchi kuiwajibisha serikali hiyo kwa namna njia zozote halali..!!

Ndo kusema kuwa, kufanya kazi kwa bidii bila ubora wa mazingira hayo hapo juu ni kazi bure ndugu Tlaatlaah

Na kwa hili, binafsi nakuona wewe kama mtu mjinga fulani hivi usiyejua jukumu kuu la serikali yoyote ile. Maana ungekuwa unajua usingeandika ulichokiandika hapa..!

Na sikiliza bwana.

Kufanya kazi kwa bidii haimsadii mtu kama anachopata kinaishia kwenye mifuko iliyotoboka kwa kutobolewa na mifumo ya rushwa na ufisadi wa viongozi wa serikali, kodi na tozo onevu kwenye huduma (simu, fedha, umeme, usafiri nk) na bidhaa (petrol nk) kiasi cha kila tunachopata kwa kufanya kwetu kazi kwa bidii kuchukuliwa na serikali ya kifisadi na kutumiwa na wao pekee yao kifisadi..

Hapo ndipo ulipo ugomvi wa wananchi na serikali yao. Hatuitaki serikali iliyojiweka yenyewe madarakani...

Tunataka iwajibike kwa aidha kukaa chini na kubadilika au iondoke ili kuruhusu ije serikali nyingi sikivu na inayowajibika kwa wananchi..

Kiini cha ugomvi upo hapa. 👇🏻👇🏻

Kwamba, tunaandamana mioyoni na waziwazi ili serikali itimize wajibu wake na kama hii iliyopo imeshindwa, basi iondoke ilI kupisha serikali nyingine. Hili haliwezi kusubiri au kwenda kwa utaratibu wa kawaida.

Ni kwa kutumia shinikizo la umma (public pressure) ili kulazimisha mambo kutokea..

It can't be useful to a manipulative and ignorant person like you..!

Mjinga wewe.

Hujui usemalo wala ujualo because of your wickedness ..

Na kwa sababu labda wewe unakula vya kifisadi na wizi halafu unabwatuka hapa kuita wenzio "wavivu"

Shame on you..
Ni hasara sana kujibizana na mtu anayenufaika na mfumo huu was uongozi
 
Back
Top Bottom