Simiyu yavunja rekodi ukusanyaji wa Mapato 2021/22

Sawa ni ndogo,

Swali,mbona hao wengine walishindwa
 
simuyu mlipuko wa madini yadhahabu utaibeba sana kama usimamizi utakua bora na imara......

kwa sasa wawekezaji wengi kutoka shinyanga na Geita wanakimbilia huko.... ni swala la muda tutaanza kuiona Geita ikishuka sana kimapato na simiyu ikipanda.
 
Huu utapeli mnayofanyiwa wa TZ na mama yenu SSH,huyo mama angekuwa anajituma kutembelea wilaya nchini angetonywa ukweli kuwa hao Simiyu na Tamisemi hayo mapato ni waongo wameingiza fedha za uviko kama mapato ya ndani kwa kuzihesabia Toka kwenye kata zilikopokelewa kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya shule na afya hii ni kashfa inampa jeuri bashungwa aombe kununua magari ya ma DC ni usanii mtupu
 
simuyu mlipuko wa madini yadhahabu utaibeba sana kama usimamizi utakua bora na imara......

kwa sasa wawekezaji wengi kutoka shinyanga na Geita wanakimbilia huko.... ni swala la muda tutaanza kuiona Geita ikishuka sana kimapato na simiyu ikipanda.
Sawa sawa
 
Daaah, nchi ngumu sana hii
 
Kazi na iendelee, Tuko salama sana na Rais Samia
 
Safi Sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…