Simkubali kabisa Magufuli, lakini apewe heshima yake wakati maono yake yakitekelezwa

Kuna sehemu nimeona maneno haya, na nina nukuu
"Ukweli utawaondoa kutoka kwenye minyonyoro ya chuki" ~unknown

Halafu kuna hii....
" ....Nataka niwaambie ndugu zangu wa Ukerewe na Watanzania kwa ujumla, kwa haya tunayoyafanya, matokeo yake Mtayaona, Siku moja mtakuja kuzungumza, Kalikuwepo kaMagufuli, Ninawaambia ukweli!"

Hayat Rais J.P.Magufuli akiwahutubuia Wananchi wa Ukerewe.

R.I.P J.P.M
 
Umeongea vizuri mkuu.
Ninachoona ni mwendrlezo wa alichojianzisha yeye mwenyewe. Alijimilikisha kila ujenzi hata ulioanza wakati wa jk. Ila kweli hilo jengo longeitwa magufuli. Sema haya mambo ya kuita kila.mradi majina ya viongozi nao ni wa kiporipori.
Ila hii nchi ina mpasuko mkubwa na watu wataendelea kufanyiana visasi kwa muda mrefu mpaka ije kurudi kwenye line si leo. Na huenda samia mwenyewe hakusema jengo liitwe samja ila ndio hao watendaji kwa kujipendekeza wakaja na wazo hilo.
All in all yote kheri ila wakumbuke km kadhaa kutoka ikulu hiyo kubwa kweli kweli ilipo kuna watu wanaishi kwenye vijumba vya udongo vifupi kama mashimo ya sungura. Hiini reflection ya maisha ya mtanzania yalivyo magumu
Twende sawa ni kipi ambacho Kikwete alikianzisha Magufuli akajimilikisha?

Orodhesha
 
Na hata wewe ungepotezwa ingependeza sana. Nchi lazima iende mbele, ukijitia kigingi utasogezwa.

Ndio maana unamuona yule Kilema anazurura anapiga poyoyo na kutetea mabeberu.

Kwa sasa, Magufuli sio mtu ni FALSAFA. Na nyie majizi machache hamuwezi kushinda, mtasogezwa mmoja baada ya mwingine kiulaini. Na hapo ndipo utakapojua kwamba hii nchi sio kitalu cha MAJIZI na MATAPELI.
Magufuli dikteta uchwara
 
Twende sawa ni kipi ambacho Kikwete alikianzisha Magufuli akajimilikisha?

Orodhesha
Ujenzi wa barabara kuu za kuunganisha mikoa yote. Yeye mwenyewe akiwa waziri wa ujenzi wa JK kwenye mkutano mmoja akiwa na jk alisimama akasema vision ya jk ni kuona mtu anaweza tembea na salon car Tanzania nzima kuanzia dar hadi mtwara na mikoa mingine. Na yeye ndoye jk kampa jukumu ya kutekereza hilo.
Mradi wa DART ambao hata magufuli hajaukamilisha bado mama samia unaendelea, hata SGR hadi mkandarasi kikwete alikuwa tayari ashapatikana akaja magu akasema kuna upigaji akabadili mkandarasi ikaanza implimentation ambapo report zinaonyesha gharama za ujenzi zimeongezeka zaidi kuliko gharama za mkandarasi wa kwanza. Au unataka mengine..
Mimi siko hapa kusema jk alikuwa bora au magu alikuwa mbaya. My point ni kwamba mama samia anachofanya ni sawa alichofanya yeye kwa kuchukua credit kwa kila kitu.
 
Kwanza kabisa napenda kuweka kumbukumbu sawa, mimi ni miongoni mwa member wa JF ambaye sikuwahi kumkubali Magufuli na mara zote (mpaka sasa hivi) nimepingana na siasa chafu na siasa za kikatili zilizokuwa zikifanywa na Magufuli na utawala wake, yaani mimi ni against Magufuli. Kwangu mimi rais Samia ni bora zaidi kuliko Magufuli, japokuwa wote wawili hawastahili kutuongoza sisi watanzania.

Kuna mambo kadhaa Magufuli (maono yake au maono ya waliomtangulia lakini yalikuwa yamekufa akayafufua) aliamua kuyaibua, kuyasimamia kwa nguvu kubwa, mengine ya kipuuzi kabisa lakini kwa bahati mbaya akafa kabla ya kukamilika, na aliyemfuata (Rais Samia) amepambana kuyatekeleza na mengine bado anapambana kuyatekeleza huku utawala huu wa Samia ukikwepa sana (kimakusudi) kumtaja au kumwagia sifa Magufuli katikati ya mambo hayo. Hii sio sawa, sio haki na wala sio heshima. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Magufuli apewe heshima yake katika mema yake. Hapa chini nitataja baadhi ya maono ya Magufuli.
1. Kuhamia Dodoma.
2. Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino
3. Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere
4. Kukuza lugha ya Kiswahili
5. Ujenzi wa reli ya SGR
6. Ujenzi wa daraja/kivuko cha Kigogo Busisi

Nimesukumwa kuandika hapa leo baada ya kusikia kuwa kuna ujenzi utaendelea ndani ya Ikulu mpya ya Chamwino, Dodoma ambapo utahusisha jengo jipya na kubwa la kisasa ambalo litaitwa Samia Complex, binafsi sijafurahishwa na hilo neno. Kwa heshima kubwa ingepaswa hilo jengo liitwe Magufuli Complex kwa sababu kuu mbili kuu.

1. Kulinda heshima ya Magufuli aliyewekeza nguvu na akili zake ili kujengwa hiyo Ikulu, na akajilazimisha kuhamia moja kwa moja hata kabla ya Ikulu kukamilika.

2. Kwa sasa Magufuli ni marehemu, na ndio kipindi bora zaidi cha kutumia jina lake kwa yale yanayomstahili kumpa heshima yake kuliko wakati mhusika akiwa hai kwa kuwa huenda mhusika angebadilika na kuja na sifa nyingine mbaya ambayo ingeharibu taswira nzima ya vitu vilivyoitwa kwa jina lake.

Kama Rais Samia naye anataka au tunataka vitu fulani vya kudumu viitwe kwa jina lake ili kumkumbuka na kumpa heshima yake basi asubiri kwanza siku akitoka madarakani au akitangulia mbele za haki tutampa. Sio haki na busara kujipendelea wakati ukiwa madarakani, hata Magufuli alikosea sana kujipa majina ya vitu vya kudumu wakati akiwa bado madarakani, mfano wa stendi ya mabasi ya mikoani ya Dar pale Mbezi. Pia Magufuli alikosea sana kubeza, kufifisha, kufunika na kushindwa kutambua maono ya mtangulizi wake (Kikwete).

Kile kilikuwa ni kitendo kibaya sana na huenda hichi kinachoendelea sasa ni kisasi dhidi ya Magufuli kwa uovu ule alioufanya dhidi ya Kikwete.

Binafsi ninaona Kikwete alijitahidi zaidi kuutambua mchango wa mtangulizi wake (Mkapa) na pia alijenga msingi mzuri wa mipango endelevu kwa aliyemfuata (Magufuli).
kawape hilo jina watoto wako we kenge
 
yule mshamba wenu shukuru Mungu amekufa, hii nchi leo ingesha-collapse kiuchumi. Alishachukua pesa zote za akiba, alishachukua mikopo yenye riba za kibiashara mbaya zaidi alishaharibu uhusiano na mataifa makubwa mpaka na jirani zetu. Asingeweza hata kukamilisha mradi moja. Sema tu alikuwa mwongo km hawa manabii wa uwongo wa siku hizi, aliweza kudanganya mazuzu km wewe. Yule alikuwa hafai kuwa kiongozi mkubwa hii nchi leo ingekuwa kuzimu ila kwasababu Mungu bado anatupenda ametuletea mtu mnyenyekevu, asiye na makuu, asiyependa shari, siyo mbaguzi, hana tamaa ya pesa tumshukuru sana.

Magufuli alikuwa jambazi km majambazi wengine tu. Alikuwa kaburu mweusi.
 
Hapo tu kwa kudharau juhudi za Magufuli na kuruhusu watu wamtukane kwenye majukwaa ndipo napo mshangaa sana Samia.

Aliwezaje kufanya kazi na mtu na kumficha namna asivyompenda huwa nahitimisha kuwa huyu mama amejaa uovu.

She is evil than the devil himself.
 
Ujenzi wa barabara kuu za kuunganisha mikoa yote. Yeye mwenyewe akiwa waziri wa ujenzi wa JK kwenye mkutano mmoja akiwa na jk alisimama akasema vision ya jk ni kuona mtu anaweza tembea na salon car Tanzania nzima kuanzia dar hadi mtwara na mikoa mingine. Na yeye ndoye jk kampa jukumu ya kutekereza hilo.
Mradi wa DART ambao hata magufuli hajaukamilisha bado mama samia unaendelea, hata SGR hadi mkandarasi kikwete alikuwa tayari ashapatikana akaja magu akasema kuna upigaji akabadili mkandarasi ikaanza implimentation ambapo report zinaonyesha gharama za ujenzi zimeongezeka zaidi kuliko gharama za mkandarasi wa kwanza. Au unataka mengine..
Mimi siko hapa kusema jk alikuwa bora au magu alikuwa mbaya. My point ni kwamba mama samia anachofanya ni sawa alichofanya yeye kwa kuchukua credit kwa kila kitu.
Wewe punguani haswa
 
Back
Top Bottom