Simkubali kabisa Magufuli, lakini apewe heshima yake wakati maono yake yakitekelezwa

Kuna sehemu nimeona maneno haya, na nina nukuu
"Ukweli utawaondoa kutoka kwenye minyonyoro ya chuki" ~unknown

Halafu kuna hii....
" ....Nataka niwaambie ndugu zangu wa Ukerewe na Watanzania kwa ujumla, kwa haya tunayoyafanya, matokeo yake Mtayaona, Siku moja mtakuja kuzungumza, Kalikuwepo kaMagufuli, Ninawaambia ukweli!"

Hayat Rais J.P.Magufuli akiwahutubuia Wananchi wa Ukerewe.

R.I.P J.P.M
 
Twende sawa ni kipi ambacho Kikwete alikianzisha Magufuli akajimilikisha?

Orodhesha
 
Magufuli dikteta uchwara
 
Twende sawa ni kipi ambacho Kikwete alikianzisha Magufuli akajimilikisha?

Orodhesha
Ujenzi wa barabara kuu za kuunganisha mikoa yote. Yeye mwenyewe akiwa waziri wa ujenzi wa JK kwenye mkutano mmoja akiwa na jk alisimama akasema vision ya jk ni kuona mtu anaweza tembea na salon car Tanzania nzima kuanzia dar hadi mtwara na mikoa mingine. Na yeye ndoye jk kampa jukumu ya kutekereza hilo.
Mradi wa DART ambao hata magufuli hajaukamilisha bado mama samia unaendelea, hata SGR hadi mkandarasi kikwete alikuwa tayari ashapatikana akaja magu akasema kuna upigaji akabadili mkandarasi ikaanza implimentation ambapo report zinaonyesha gharama za ujenzi zimeongezeka zaidi kuliko gharama za mkandarasi wa kwanza. Au unataka mengine..
Mimi siko hapa kusema jk alikuwa bora au magu alikuwa mbaya. My point ni kwamba mama samia anachofanya ni sawa alichofanya yeye kwa kuchukua credit kwa kila kitu.
 
kawape hilo jina watoto wako we kenge
 
yule mshamba wenu shukuru Mungu amekufa, hii nchi leo ingesha-collapse kiuchumi. Alishachukua pesa zote za akiba, alishachukua mikopo yenye riba za kibiashara mbaya zaidi alishaharibu uhusiano na mataifa makubwa mpaka na jirani zetu. Asingeweza hata kukamilisha mradi moja. Sema tu alikuwa mwongo km hawa manabii wa uwongo wa siku hizi, aliweza kudanganya mazuzu km wewe. Yule alikuwa hafai kuwa kiongozi mkubwa hii nchi leo ingekuwa kuzimu ila kwasababu Mungu bado anatupenda ametuletea mtu mnyenyekevu, asiye na makuu, asiyependa shari, siyo mbaguzi, hana tamaa ya pesa tumshukuru sana.

Magufuli alikuwa jambazi km majambazi wengine tu. Alikuwa kaburu mweusi.
 
Hapo tu kwa kudharau juhudi za Magufuli na kuruhusu watu wamtukane kwenye majukwaa ndipo napo mshangaa sana Samia.

Aliwezaje kufanya kazi na mtu na kumficha namna asivyompenda huwa nahitimisha kuwa huyu mama amejaa uovu.

She is evil than the devil himself.
 
Wewe punguani haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…