Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mzee Mwanguku anaagwa kesho kwa maziko yatakayofanyika Mbeya siku ya Ijumaa.Teknocrat
Confirmed by Ambele Mwanguku, mtoto wa Mzee Simon Mwanguku.
Mzee Simon Mwanguku amefariki baada ya kupokea habari za kifo cha binti yake Julie.
Ambele Mwanguku ana hali ngumu sana.
Amempoteza dada yake (Julie Mwanguku) na baba yake (Simon Mwanguku) ndani ya wiki moja.
Pole nyingi kwa familia ya Mwanguku.
Siju hiyo hiyo ya Ijumaa mwili wa Julie Mwanguku utapokelewa JNIA muda ya ahsubuhi kwa taratibu za mazishi.
Mungu awapokee marehemu wetu na kuwapa pumziko kwa nafsi zao.
Poleni mlioguswa na msiba huu mzito