Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Nami nashangaaKocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Haya mashindano hayapo kwenye kalenda ya FIFA kwa hiyo inakua ni juu ya uamuzi wa klabu kumuachia ama la.Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Huyo kocha naye?Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Duh hii imekujaje tena......Yanga ni noma sana
YANGA MPO UARABUNI TENAYanga ni noma sana
Umuhimu wa msuva ni mkubwa katika taifa letu lakin kumuacha naona niwazo zuri, sasa hiv kwenye timu yake yuko moto kaisha gain momentum, kumchukua kwa ajili ya mashindano haya ya kiduanzi si sawa, ni vizur kumuacha aendelee kukiwasha..Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Ukweli ni kuwa haya mashindano ya kibwege hayako kwenye kalenda ya FIFA... hata kocha angemwita, club isingemruhusu.Umuhimu wa msuva ni mkubwa katika taifa letu lakin kumuacha naona niwazo zuri, sasa hiv kwenye timu yake yuko moto kaisha gain momentum, kumchukua kwa ajili ya mashindano haya ya kiduanzi si sawa, ni vizur kumuacha aendelee kukiwasha..
Kila la kheri msuva, nadhani yeyey anaonesha juhudi ni muhimu kuliko kipaji
Sio kina ajibu na mzamiru wana vipaji vikibwa lakin wanbung'aa macho tu tz
Ukweli ni kuwa haya mashindano ya kibwege hayako kwenye kalenda ya FIFA... hata kocha angemwita, club isingemruhusu.
Mechi 9 pointi 17 nafasi ya piliMchezaji wa kimataifa wa Tanzania Simon Msuva Jana aliendelea kung'ara katika klabu yake ya Difaa El Jadidi wakati ilipoifunga Olympique Khouribga magoli 4-1 katika mchezo wa ligi kuu ya nchi hiyo BOTOLA.
Simon Msuva alifunga goli la nne katika dakika ya 71 na magoli mengine matatu yakifungwa na H. Ahaddad.
Timu ya Difaa sasa inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa imecheza michezo tisa na ina pointi 17
Watanzania tuzidi kumuombea Msuva avuke bahari ya meditrenia kihalali.