Simon Msuva aendelea kung'ara Morocco

Simon Msuva aendelea kung'ara Morocco

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
4,017
Reaction score
2,580
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Simon Msuva Jana aliendelea kung'ara katika klabu yake ya Difaa El Jadidi wakati ilipoifunga Olympique Khouribga magoli 4-1 katika mchezo wa ligi kuu ya nchi hiyo BOTOLA.

Simon Msuva alifunga goli la nne katika dakika ya 71 na magoli mengine matatu yakifungwa na H. Ahaddad.

Timu ya Difaa sasa inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa imecheza michezo tisa na ina pointi 17

Watanzania tuzidi kumuombea Msuva avuke bahari ya meditrenia kihalali.
 
Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
 
Akaze buti mdogo wetu daah, huenda akatusua aysee
 
Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi
Umuhimu wa msuva ni mkubwa katika taifa letu lakin kumuacha naona niwazo zuri, sasa hiv kwenye timu yake yuko moto kaisha gain momentum, kumchukua kwa ajili ya mashindano haya ya kiduanzi si sawa, ni vizur kumuacha aendelee kukiwasha..

Kila la kheri msuva, nadhani yeyey anaonesha juhudi ni muhimu kuliko kipaji
Sio kina ajibu na mzamiru wana vipaji vikibwa lakin wanbung'aa macho tu tz
 
Ukweli ni kuwa haya mashindano ya kibwege hayako kwenye kalenda ya FIFA... hata kocha angemwita, club isingemruhusu.
 
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Simon Msuva Jana aliendelea kung'ara katika klabu yake ya Difaa El Jadidi wakati ilipoifunga Olympique Khouribga magoli 4-1 katika mchezo wa ligi kuu ya nchi hiyo BOTOLA.

Simon Msuva alifunga goli la nne katika dakika ya 71 na magoli mengine matatu yakifungwa na H. Ahaddad.

Timu ya Difaa sasa inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa imecheza michezo tisa na ina pointi 17

Watanzania tuzidi kumuombea Msuva avuke bahari ya meditrenia kihalali.
Mechi 9 pointi 17 nafasi ya pili
Ukisikia ligi ngumu ndo hizi
 
Back
Top Bottom