mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hela zenyewe mpaka kiki kwanzaDiamond utajiri wake wote bilioni kumi(10B),ana uwezo gani wa kumiliki timu?Timu si mchezo wakuu.
Wee ulisikia wapiHela zenyewe mpaka kiki kwanza
Wakati unaandika hayo,inawezekana unakula kwa wazaziDiamond utajiri wake wote bilioni kumi(10B),ana uwezo gani wa kumiliki timu?Timu si mchezo wakuu.
Mnadhani bil 10 ni matako kila mtu anayo.Diamond utajiri wake wote bilioni kumi(10B),ana uwezo gani wa kumiliki timu?Timu si mchezo wakuu.